Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wanawake jamani mjue Muumba Anawaona!
2a78e0e9973f21950aa4810b042d9dba.jpg
 
Sikia hii, tulikuwa mahali tunaangusha moja moja, mimi, anko na cheusi mangala mmoja bonge bonge

Mjomba: ...kwa hiyo unasemaje sasa, tumekubaliana kuhusu malavidavido
Cheusimangala: ...subiri nikajifikirie nitakupa jibu''
Mjomba: ....jipe muda wa kufikiria bili ya ulichokunywa utajilipia.


Mimi: Nitamlipia mimi

Baada ya kukamilisha muamala nikaondoka na cheusi, mjomba akaondoka na yule mhudumu
binamu nakuona tu kila siku cheusi mangala
 
Kifo - The Great Equalizer. Yaani hata uwe tajiri kiasi gani siku zako zikifika ni lazima uondoke tu. Waliobaki wataweka mbwembwe wee mara champagne, mara pesa, mara vito kama mafarao lakini you are dead!

Nimeona vimbwanga vya Ivan mume mwenza wa Mondi hapa. Yaani alikuwa anaagiza Fiji Water kwa ajili ya kuogea na alikuwa anadai ndicho kilichokuwa kinampa ngozi nyororo. Fiji Water inasemekana ndiyo maji safi zaidi duniani na kidogo ghali. Kachupa kamoja hako kanaweza kuuzwa mpaka dola 3. Imagine kujaza bathtub nzima tena mara tatu kwa siku. Ni kweli kula maisha kifo chaja. Apumzike kwa amani tajiri huyu kijana mwenye machachari!
9da69e3bd14155efb9c66e1c51fb5079.jpg
huyu ivan kifo chake mara waseme hajafa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom