Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Si amesema tuu ...wewe na wivu wako ushawaza menginemume wa mtu tafuta ambaye hana mke
Si amesema tuu ...wewe na wivu wako ushawaza menginemume wa mtu tafuta ambaye hana mke
Akija nitamwambia usijaliMuite tafadhali. Nimependa jina lake. fakalava "fuckerlover"
bakulutu sa ngapi binamu au ni kesho
Utani unaofanana na ukweliiLabda ile uliyonunulia Brazilian wig
Leo hii unampataaSawa ndugu.Niko njiani kumpata!
Bhinamu fursa hii acha hizo ..au likes ndo umeamua ziwe rafiki yako
Limekutachiiiii![]()
![]()
binamu wewe
Nakujaa naeeUnataka kuchagua mwenyewe eeh, wagombea ushasikiza kampeni zao? Mimi nimekuchagua bila kupingwa, huna mpinzani kwa leo. njoo uchukue cheti cha kushinda
Bia ya 5 hiyo...au anaweza kutafuta mke asiye na mume.
Limbwata ya kutopenda pengine au ..ha hahhahaha, au BH kanipa limbwata😱
Nilimanishaa vidudu ....vibaragala alafu ulikuwa unaviwekaa mfukonii wote unajaa mafutaa
Kiukweli aunt ysko simuweziii kanikomeshaa
Ila leo yule muhudumu atujibu swal letu ...kipi bora kuwaza bia ukiwa kanisani au kuwaza Mungu ukiwa bar ?? Siku ile tuliishia njian
Unataka kuchagua mwenyewe eeh, wagombea ushasikiza kampeni zao? Mimi nimekuchagua bila kupingwa, huna mpinzani kwa leo. njoo uchukue cheti cha kushinda

Lee ndio anapokea kaka angu mtafute yeye ubarikiwePole sana ila mi nina rambi rambi nitafikishaje
hahhaha nilijua tu ni mgeni na Lee weweNaomba hela zangu
Ndio binamu...au anaweza kutafuta mke asiye na mume.
Najiandaa usichelewe. Ukuje kunichukua aiseeUjue wewe bhinamu ni geniasiiiiii make nilikuwa nawaza akiniuliza risit najibujee ila kwa kuwa nilikukutaa ushafungua vizibo wala hukukumbukaaa...
Mrembo demi nakuja naee leo jiandaee si umetembea na atm??
....kama atatumia kinywaji atajigharamia
binamu nimecheka sana unaweza ukamkimbia mtu bar
Sasa hapo ndo huwa unanishangazaa ukishafikisha ya 5-6 unasahau kuwa shuny aunt ana maswali yasiyofikirikaaaHa hahahhahah, yule muhudumu nilijua alikujibu ulipomsindika nyumbani kwake!!! Anway kama hakukupa jibu leo atatujibu
Sijaonaa hii comentLee ndio anapokea kaka angu mtafute yeye ubarikiwe