Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,531
- 94,727
Usiende kuniuza kwa binamu yako..mi nataka bia tu!Nakujaa naee
Usiende kuniuza kwa binamu yako..mi nataka bia tu!Nakujaa naee
hapana aisee acha tu niwaze vingine niwe kimya ili wakubebe watafute single mbona wengi tu wapo humuSi amesema tuu ...wewe na wivu wako ushawaza mengine
Ujue wewe bhinamu ni geniasiiiiii make nilikuwa nawaza akiniuliza risit najibujee ila kwa kuwa nilikukutaa ushafungua vizibo wala hukukumbukaaa...
Mrembo demi nakuja naee leo jiandaee si umetembea na atm??
Tunamsubiri kwa hamu.Namleta jioni
hahhaa ila binamu we sikupatii picha acha mama mchuchu aseme tu hakuelewiNipo hapa saa hizi, namsikiliza Passenger huku nimeshika glass ina umbo la msichana mwenye umri wa makamo
Poa ngoja akikuja niongee naeLee ndio anapokea kaka angu mtafute yeye ubarikiwe
we unavyoongea binamu kumbe huwa anaangalia tuUtani unaofanana na ukwelii
Weeeeeeeeee nije na hela zangu????? Lee usije tena bwana..binamu yako hana pesa!Hunipendi mjomba, atm ya CRDB watakubali niibebe?
Kama anakuja aje na hela zake tusitegemee za atm bhana
ha hahhahaha, au BH kanipa limbwata😱
hapa ndio ninapokupendea binamu hutaki yeyote zaidi ya mama mchuchu
Usitokee pale kona napita now ...ila naomba kama hujanipigia kile kimin sketii urud ukitupiee naujua ugonjwa wa bhinam anguNajiandaa usichelewe. Ukuje kunichukua aisee
hhahaa ndioLimbwata ya kutopenda pengine au ..
Ndo uniambie naifikishajeSijaonaa hii coment
Ndo tumsaidiee bhinamu sasahapana aisee acha tu niwaze vingine niwe kimya ili wakubebe watafute single mbona wengi tu wapo humu
Binamu yako hana hela. Basi tutuke mi na wewe. Nina ushauri wa kukupa!Usitokee pale kona napita now ...ila naomba kama hujanipigia kile kimin sketii urud ukitupiee naujua ugonjwa wa bhinam angu
mnasindikizwa na wahudumu mpaka nyumbani ni beer gani hizo binamuHa hahahhahah, yule muhudumu nilijua alikujibu ulipomsindika nyumbani kwake!!! Anway kama hakukupa jibu leo atatujibu
Tunakupenda sana ...demi ndo ashaoza kwakooHunipendi mjomba, atm ya CRDB watakubali niibebe?
Kama anakuja aje na hela zake tusitegemee za atm bhana
Demi je??hahhaa ila binamu we sikupatii picha acha mama mchuchu aseme tu hakuelewi
Nipo hapaa ...Poa ngoja akikuja niongee nae
Anakujuaawe unavyoongea binamu kumbe huwa anaangalia tu