Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,653
Hakuna anayeweza ligi na mimi
Nimemwona Japo sio huku jamviniAtakuja
Kipenzi rafikiiiNimemwona Japo sio huku jamvini
Unataka aje humu?Nimemwona Japo sio huku jamvini

Humu si ndo kijiweni kwetu sisi makapuku ha ha ha ha haUnataka aje humu?![]()
Namleta jioniHumu si ndo kijiweni kwetu sisi makapuku ha ha ha ha ha
Utafanya nini ?
Huu moto jikoroge nikuwashie ,,,muulize gentamycine alijikoroga akanivagaa mammmaaae kilichompata mpaka leo ananiheshimu
rubii ,fungua pm nikwambie yaliyo moyoni mwanguGENTAMYCINE njoo umuone huyu dogo anajipatia ujiko kwa jina lako hukuuu
DaahPHNOM PEHN, CAMBODIA
View attachment 517996
Pikipiki ikiwa imesheheni mboga mboga a.k.a mkubhi hii ilikuwa Aug 25, 2015
Kabila gani hicho mkuu ( mkubhi)PHNOM PEHN, CAMBODIA
View attachment 517996
Pikipiki ikiwa imesheheni mboga mboga a.k.a mkubhi hii ilikuwa Aug 25, 2015
Unajiunga vipi bitoz makapuHii ni thread maalumu kwa ajili ya vijana kukutana na kujadili mambo mbalimbali kuhusu maujanja ya maisha pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili maishani pamoja na za Jf
Tusipangiane cha kupost
.........................
GENTAMYCINE njoo umuone huyu dogo anajipatia ujiko kwa jina lako hukuuu
Aaaaaaaaa! Jamani!Naona anajifanya yeye ndo yeye ...nisamehe ngoja nimsome mpaka mwisho anachokitaka atakipata
Ushajiungaa karibuUnajiunga vipi bitoz makapu
Mkuu lakini ungeliachana nae make haya mambo huku kwetu hatujayazoeaa ...njia muhimu na nzuri ni kutobishana na jamaa kama huyu ...ni ombi tuNimeshampa Wembe tayari ambao Mtoto alikuwa akiulilia.
Nimeshampa Wembe tayari ambao Mtoto alikuwa akiulilia.
Hakuna kitu kama hicho maana nimemkuta sehemu anaimbishwa na anaonekana kuuelewa wimbo.Yes..