Makapuku Forum

Makapuku Forum

6/Derek 'Bertie' Smalls
be3748283b19b2989f2e9296750694e1.jpg
543d6148f2b27daba545675b7c018fda.jpg

Huyu alikuwa ni mwizi aliyebobea huko Uingereza katika miaka ya 1960
Kabla ya miaka ya 1970 alikuwa ni mwizi mwenye jina kubwa kwenye mitaa ya jiji la London
Mwezi Februari 1970 aliongoza genge liitwalo Wembley Mob kuvamia na kuiba pesa kiasi cha Pauni 240,000 katika benki ya Barclays kiasi ambacho ni rekodi kwa kipindi hicho
Kisha akapanda treni na kutimkia jijini Paris kusikilizia upepo
Baada ya juahidiwa kupewa kings na mwendesha mashtaka iwapo atakubali kuelezea wizi ulivyofanyika kwaajili ya faida ya Polisi siku zijazo alikubali kurudi na kutoboa siri ambapo genge zims lolipigwa mvua ya miaka 100 jela ila yeue akasamehewa
.......
hata sura inasadifu huyu yalikuwa yuko vzr kwenye hiyo idara
 
2c41798918af588635bcad5d9b9e9e0e.jpg
cc3eb05bc560cfddb492e303a8dead80.jpg
d8d3f1d1fe0092db6a39a728db2cf851.jpg

Wanapinga tu kwa maneno ila kuzuia uzalishaji wa tumbaku au kufungia viwanda vya sigara hawawezi
Ni chanzo kikubwa cha mapato katika nchi nyingi duniani
.......
Siyo mapato yanayotokana na kodi pekee. Wale wanaougua kansa ya mapafu na magonjwa mengine yanayosababishwa na tumbaku nao wanahakikisha kuwa makampuni ya madawa hayakosi wateja. Kuna vidonge vya kansa sasa vinauzwa mpaka dola 1,000+ kidonge kimoja. Imebidi makampuni ya bima ya-negotiate na pharmaceuticals kupunguziwa bei moja kwa moja. Bidhaa za tumbaku (na madhara yake) ni biashara inayosaidia uchumi katika nchi nyingi duniani. Na kupunguza population is a big bonus!
 
83f7f4e9821ab6af334300f526c8003d.jpg
99100e442683148613e27449b1842666.jpg
46f77b8822348f19fdf7a022855db428.jpg
Aling'ang'ania kulala Ikulu hata baada ya kushindwa Uchaguzi
Matokeo yake yeye na First Lady wakatolewa Ikulu na wanajeshi km mbwa
.....
That's life. It can change anytime. Angalia hapa wako madarakani life is good. Na wana bahati hawakula shaba. Watu wengi waliuawa katika mapigano ambayo hayakuwa na sababu yo yote kisa tu abakie madarakani. West Africa kule kidogo wameamka amka. Ukileta mbwembwe za kung'ang'ania madarakani wakati umeshindwa uchaguzi kaa chonjo.
d5a3488015ce3c3f1b0fe86eb97414d7.jpg
616cb0e3c5237c36637b77bbb0564e1c.jpg
 
Siyo mapato pekee. Wale wanaougua kansa ya mapafu na magonjwa mengineyo nao wanahakikisha kuwa makampuni ya madawa hayakosi wateja. Kuna vidonge vya kansa sasa vinauzwa mpaka dola 1,000+ kidonge kimoja. Imebidi makampuni ya bima ya-negotiate na pharmaceuticals kupunguziwa bei moja kwa moja. Bidhaa za tumbaku (na madhara yake) ni biashara inayosaidia uchumi katika nchi nyingi duniani!
Ndiyo maana bangi inapigwa vita sana
 
ZABURI 37

25.Nilikua kijana nami sasa ni mzee,Lakini sijamwona mwenye haki ameachwa Wala mzao wake akiomba chakula.

26.Mchana kutwa hufadhili na kukopesha,Na mzao wake hubarikiwa.

27.Jiepue na uovu ,utende mema,Na kukaa hata milele.

28.Kwakuwa BWANA hupenda haki,Wala hawaachi watauwa wake.Wao hulindwa milele .Bali mzao wa wasio haki ataharibiwa.

29.Wenye haki watairithi nchi Nao watakaa humo milele

30.Kinywa chake mwenye haki hunena hekima,Na ulimi wake husema hukumu.

Baba asante kwa kutuamsha salama ,tembea nasi siku ya leo Roho Mtakatifu tuongoze katika yote,uwe mwalimu wetu,mfariji,mlinzi.
Asante kwakuwa utatenda sawa na mapenzi yako,katika jina la Yesu Amen
SIKU NJEMA
Balikiwa mama!!
 
Balikiwa Mama
 
Siyo mapato yanayotokana na kodi pekee. Wale wanaougua kansa ya mapafu na magonjwa mengine yanayosababishwa na tumbaku nao wanahakikisha kuwa makampuni ya madawa hayakosi wateja. Kuna vidonge vya kansa sasa vinauzwa mpaka dola 1,000+ kidonge kimoja. Imebidi makampuni ya bima ya-negotiate na pharmaceuticals kupunguziwa bei moja kwa moja. Bidhaa za tumbaku (na madhara yake) ni biashara inayosaidia uchumi katika nchi nyingi duniani. Na kupunguza population is a big bonus!
Upo sahihi kabisa mdau
....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom