Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Duh kumbe wewe ni kaka kwanguNi kwelii mkuu japo nilikuwa mdogo ila nna kumbukumbu kidogo ...ila kiukweli tuombe aman ..uchumi ulidorora kwelii ila hatukufikiaa kwa hawa wenzetu tumshukuru Mungu
Mi wakati wa vita dingi(RIP) alikuwa kijana mjeda JWTZ na hivyo alienda kupigana vitani na kurudi salama na kustaafu miaka ya 200's akiwa Afisa huko jeshini
Ndiye aliyenisimulia mambo mengi
......


