Makapuku Forum

10/Air India Flight 182 Ndege hii ilikuwa ikisafiri kutoka Toronto Canada kuelekea Delhi India kupitia London England.
Ilikuwa ni ndege aina ya Rowing 747--237B Jumbo Jet ilitunguliwa Ukiwa umbali wa futi 31,000 kutoka ardhini yaani ilipigwa kombora la Bomu na hivyo kuangukia katika pwani ya Ireland katika bahari ya Atlantiki hii ilikuwa ni mwaka 1987 na kuua abiria 329
Wakanada waliokufa ni 268 wakati Waingereza ni 27
Ndiyo tukio baya la ndege kutokea hadi ilipofika 2001 kule kwa Trump
.....
 
Sorry una-details zozote kuhusu ndege walioitengeneza wachina ambayo wao waliiuza nusu ya bei ya boeng tafadhari
 
Asante kwa Nukuu ya Leo T wa Sakayo
 
9/Gamboru Ngala attacks Hii ilitokea mwaka 2014 huko Nigeria
Ni mashambulizi yaliyofanywa na Goko Haram katika miji ya Gamboru na Ngala katika jimbo la Borno
Ni mashambulio yaliyodumu kwa masaa 12 na kuteketeza kabisa miji hiyo na kuua watu 336
Walionusurika wengi walikimbilia nchini Cameroon
......
 
8/Karrada Bombing
Ni shambulio lililofanywa mwaka 2016 huko Baghdad nchini Irak
Yalikuwa ni mashambulizi matatu tofauti yaliyofanywa na Islamic State katika mji huo wakati wa shamrashamra za Ramadhani
Mashambulizi hayo yaliua watu 341 huku mamia wakijeruhiwa
Lilikuwa ni tukio la pili la kigaidi baya zaidi kutokea nchini humo
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…