Makapuku Forum

1990 - Rais wa Marekani George H.W. Bush na Rais wa Urusi Mikhail Gorbachev wanasaini mkataba wa kumaliza matumizi ya silaha za kemikali.
Ni makubaliano ya kutekeza silaha za kikemikali na kutotengeneza zingine

Ila inaonekana hazikuteketezwa zote wala nini ilikuwa zuga tu na waliendelea kuzitengeneza kimyakimya
.....
 
Tupo pamoja Obe,asante sana ubarikiwe ...siku njema
 
1926 - Marilyn Monroe anazaliwa.

Alikuwa ni mrembo matata aliyetikisa Marekani miaka ya 1950 mpaka 1960's.

Inadaiwa aliwahi kutoka kimahusiano na Rais wa 35 wa Marekani, John F. Kennedy na kaka yake Robert F. Kennedy.
Ni mmoja kati ya wanawake warembo weupe kuwahi kutokea duniani
Ila aliutumia vibaya urembo wake
Kwani ni mmoja wa warembo wa kizamani maarufu kwa kupiga picha za utupu
Ni km Naomi Campbell wa zama hizi Siyo tu inadaiwa bali ni kuna kaukweli kwamba JFK alikuwa anakula mzigo...
JFK ni mmoja wa marais wa USA wapenda totoz hata mkewe alikuwa ni mrembo

Kilichofanywa na Marilyn Monroe ni km alichofanya Naomi Campbell kulala na Charles Taylor
Ili kutunza heshima ya Rais JFK Maofisa wa FBI chini ya Edgar Hooverwakatia mkono na kufanya mambo kimyakimya
Na kwavile M arilyn alikuwa ni mlevi na malaya basi inadaiwa walimuua kwa sumu
Km picha inavyoonekana alikutwa chumbani kwake akiwa amekufa usingizini
Pembeni zilionekana dawa za kulevya na pombe{inadaiwa ziliwekwa na FBI km zuga tu) au alitegeshewa sumu kwenye kinywaji
....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…