Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Nyie watu vipi mbona mnaniombea vibaya juu ya mahusiano yanguMkuu th name sharing is caring asee😱😱
Usikabe sana mzee
Nyie watu vipi mbona mnaniombea vibaya juu ya mahusiano yanguMkuu th name sharing is caring asee😱😱
Usikabe sana mzee
Nahisi wajanja wamembeba.kaenda wap tena, au umeshindwa kuchunga mali?
Naona kuna watu humu wivu na tamaa za wake za watu loveSawa honey!
kwani youngblood alipatwa na NINI mkuu?Jonah kausha kaka!! Mwache youngblood anarecover mdomdo
Yaan tuwatumbueNaona kuna watu humu wivu na tamaa za wake za watu love
Naona kuna watu humu wanatafuta kick kupitia Th Name na lizziebettieNgoja braza Th Name aje akujibu mwenyewe.
amani bossNa kwako pia kaka.
mimi ndo nilikuwa naye tunakula maisha.. we huoni kama tulikuwa hutuoni huku?Nahisi wajanja wamembeba.
Haiwezekani week mbili mtu haonekani!!
Youngblood kapotea maskini, daaah!!! Haya mambo mweh!😳
Kidogo nishangae.Nipo mkuu.
Ndo kilichobaki tuYaan tuwatumbue
Naona kuna watu humu wanatafuta kick kupitia Th Name na lizziebettie
Nitarudi baadae.Pita tena,
HahahahahEeeh😀😀😀
Tumefika hapo.....kwaherini bhana, mie nilikuwa na chitchat tu. Nothing serious intended😱

Wewe nakujua hunipi pressuremimi ndo nilikuwa naye tunakula maisha.. we huoni kama tulikuwa hutuoni huku?
hvyo tegemea Nahrene uwepo wake soon baada ya kutoka naye mapumzikoni
Badala ya kuwekeza kwenye Mazoez na vifaaa wanawekeza kwenye majunguTatizo mikia porojo nyingi hawa
haaaa haaaa unakimbia boss.Eeeh😀😀😀
Tumefika hapo.....kwaherini bhana, mie nilikuwa na chitchat tu. Nothing serious intended😱