sizzya007
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 773
- 2,422
Wewe nakujua hunipi pressure
Pressure yako ni mimi😀😀😀
Najua, ila ntaregeza kidoooogo ndugu yangu upumue
Wewe nakujua hunipi pressure
Haji Manara anawaharibu mashabiki wa simbaBadala ya kuwekeza kwenye Mazoez na vifaaa wanawekeza kwenye majungu
Alitaka kuiba vya watu.haaaa haaaa unakimbia boss.
pole pole boss.Naona kuna watu humu wanatafuta kick kupitia Th Name na lizziebettie
Eti anakutishia!Wewe nakujua hunipi pressure
Hata wewe hujui alipo?Yuko wapi mkuu.
Asante kwa kuliona hilo.Naona kuna watu humu wivu na tamaa za wake za watu love
Mungu akulinde kaka mkubwaMissing you guys nimefika salama safari yangu japo usalama huku ni mdogo sana lakini nimekuja kamili
Sijui mkuu.Hata wewe hujui alipo?
Acha tu mpenzi wangu anasumbuliwa sana humuAsante kwa kuliona hilo.
Naamini hawataweza kukufanya mbaya maana mwenyewe mziki mnene, pole pia kwa safari yako.Missing you guys nimefika salama safari yangu japo usalama huku ni mdogo sana lakini nimekuja kamili
Ashindwe kabisaHahahaa sizza007 alikua anaombea mabaya
Hebu zunguka majukwaa yote jf utampata tuSijui mkuu.
Nataka nianze mishe za kwenda polisi.
Wewe pia ni walewale tu.Pressure yako ni mimi😀😀😀
Najua, ila ntaregeza kidoooogo ndugu yangu upumue
Kutoa taarifa ama unaenda kuandikiwa RB?Sijui mkuu.
Nataka nianze mishe za kwenda polisi.
Huyu bwana mdodo namjua hana sound.Eti anakutishia!
Naenda kuandika RB mkuu.Kutoa taarifa ama unaenda kuandikiwa RB?