Mi niko tayari hapaTujiandae love
Naligiraji ndo nini mazee??Jimena njoooooooo.....jibu la mtongozo naligirajii🙄🙄
Mi niko tayari hapa
Kwanini kaka unasema hivyo?Kama kawa kaka....asee moto umewaka jf😱
Naligiraji ndo nini mazee??
Hahaa... Wao wanasema 'Utasubiri sana' mwisho wa kunukuu.Hii couple naisubiri sana ivunjike....maana kupenda kwa huyu lizzbettie nami nataka kukuexperience😀😀
Hahaa... Wao wanasema 'Utasubiri sana' mwisho wa kunukuu.
Babe njoo umuone huyu Th NameHii couple naisubiri sana ivunjike....maana kupenda kwa huyu lizzbettie nami nataka kukuexperience😀😀
hutaniweza kunipata.Ha Haaaa haaaaaaaHii couple naisubiri sana ivunjike....maana kupenda kwa huyu lizzbettie nami nataka kukuexperience😀😀
Basi kesho mapema tu tukapunge upepo honeyMi niko tayari hapa
Na kwako pia kaka.mchana mwema na kazi njema.
Pole, subiri next time utapata.Hizi kazi zimenikosesha kuwa komentor Wa 30k
Kilugha hicho!Nalitaka