Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yanga timu ya serikali wewe
FACT
Mkia 0:2 Yanga(Yanga anabebwa)
Mkia 0:1 Kosto(mwamuzi katuua)
Yanga 2:1 Ndanda(Yanga anabebwa)
Yanga 1 :1Al alhy(mtafungwa nyingi Misri goli lenyewe OG)
Al alhy 2:1 Yanga(mmebahatisha kufungwa chache)
Mkia 0:1 Toto (tumeonewa red card)
Kosto 1 :2Yanga (mmebebw)
Leteni picha muobenye bao LA Ngoma km offside na Tambwe kashika mpira.
Simba hamna timu kazi majungu tu
5d55891f1dc65b96ef6b12194d61a102.jpg
ea57009096ced054a52c3600d61967ea.jpg
640c4331682d088bfd182e1ca83fe776.jpg

..............
S
 
FACT
Mkia 0:2 Yanga(Yanga anabebwa)
Mkia 0:1 Kosto(mwamuzi katuua)
Yanga 2:1 Ndanda(Yanga anabebwa)
Yanga 1 :1Yanga(mtafungwa nyingi Misri goli lenyewe OG)
Al alhy 2:1 Yanga(mmebahatisha kufungwa chache)
Kosto 1 :2Yanga (mmebebw)
Leteni picha muobenye bao LA Ngoma km offside na Tambwe kashika mpira.
Simba hamna timu kazi majungu tu
..............
Wamchanganiiiii mpyuuuu
 
wakuu mambo vipi...?mimi ni kijana najishughuliasha na mambo ya real estates tuna kampuni ya upimajibwa viwanja...tuna miradi mingi sana uko kigamboni na sehemu nyingine nyingi..lengo langu hapa nnatafuta mtu makini san anaeweza kufanya mambo ya marketing hata kama ajasomea koz siamini sana katika shule naamini katika kupata matokeo,nataka tufungue kampuni ya mauzo ya viwanja,viwanja vipo vingi sana nahitaji mtu awe result oriented na awe anajituma sana kutafuta masoko na awe amtu wa kufanya networking..kitakachopaikana ni chetu wote kutegemea na tutakavyo kubaliana..siangalii jinsia wala elimu nataka mtu hardworker..ni pm kana uko tayari.
 
FACT
Mkia 0:2 Yanga(Yanga anabebwa)
Mkia 0:1 Kosto(mwamuzi katuua)
Yanga 2:1 Ndanda(Yanga anabebwa)
Yanga 1 :1Yanga(mtafungwa nyingi Misri goli lenyewe OG)
Al alhy 2:1 Yanga(mmebahatisha kufungwa chache)
Mkia 0:1 Toto (tumeonewa red card)
Kosto 1 :2Yanga (mmebebw)
Leteni picha muobenye bao LA Ngoma km offside na Tambwe kashika mpira.
Simba hamna timu kazi majungu tu
..............
Tatizo mikia porojo nyingi hawa
 
wakuu mambo vipi...?mimi ni kijana bajishughuliasha sana na mambo ya real estates tuna kampuni ya upimajibwa viwanja...tunamiradi mingi sana uko kigamboni na sehemu nyingine nyingi..lengo langu hapa nnatafuta mtu makini san anaeweza kufanya mambo ya marketing hata kama ajasomea koz siamini sana katika shule naamini katika kupata matokeo,nataka tufungue kampuni ya mauzo ya viwanja,viwanja vipo vingi sana nahitaji mtu awe result oriented na awe anajituma sana kutafuta masoko na awe amtu wa kufanya networking..kitakachopaikana ni chetu wote kutegemea na tutakavyo kubaliana..siangalii jinsia wala elimu nataka mtu hardworker..ni pm kana uko tayari.
Asante Mkuu kwa taarifa yako, natumai kuna vijana wa kutosha watakaojitokeza then utafanya kama 'assesment' kwao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom