sizzya007
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 773
- 2,422
Vingine havigawiwi! Kama unataka kushare mke nenda India😀😀😀
Uchoyo tuuu
Nmeingoja kweliPole, subiri next time utapata.
Sawa honey!Basi kesho mapema tu tukapunge upepo honey
Vingine havigawiwi! Kama unataka kushare mke nenda India
Hapo wapi Mkuu?
Hapo wapi Mkuu?
Itakuwa na yeye ni zamu yake kuoshwa.Jimena alikuwa anaosha
Ila sijui aliosha nini
😀😀😀😀 hii kali asee, basi na ww hamia india tukafanye mambo
we nenda tuPm mail yakoKiwanja kipo kwenye mwinuko.
Na nyumba ninayohitaji kujenga ni ya wastani ila si kubwa sana na lazima iwe ya mfumo wa kisasa, ndo maana nilikwambia iwe angalau na vyumba viwilili(kimoja kiwe master), sebule na dining. Nilihitaji na kitchen iwepo ila inaweza ikawa kubwa sana.
Sawa Mkuu.Pm mail yako
Tena ni ya kujitakia.Ha Haaaa haaaaaaa
Kesi hii
nakusalimu mkuuAisee nimekitia mimi.
Itakuwa, ngoja youngblood aje ili atupe jibu.Hivi nahreen aliibiwa au
Mkuu, cha mtu mavi ukikiona...😀😀😀
Uchoyo tuuu