Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Nani anamsumbua!?Acha tu mpenzi wangu anasumbuliwa sana humu
Sema mwenyewe hujiamini!
Nadhani ulibahatisha.
Nani anamsumbua!?Acha tu mpenzi wangu anasumbuliwa sana humu
Pressure yako ni mimi😀😀😀
Najua, ila ntaregeza kidoooogo ndugu yangu upumue
Ni zaidi ya LA LIGA na CHAMPION LEAGUE.Wewe pia ni walewale tu.
Kama Jimena amekushindwa kwa Nahrene wangu utaambulia za mbavu.
Mkuu hapanaJPM ninii?
Hahahaha.Pole sana Mkuu, nadhani hatupishani maana hapa nina siku sijamuona baby wangu aggyjay.
Anajaribu kutikisa kiberiti.Huyu bwana mdodo namjua hana sound.
Najua huwa wanazingua kupita hata JPM wale, pole braza.Mkuu hapana
Ni hawa local Boses
Je wa kwako hahaa....Hahahaha.
Huyo ameshaolewa.
sawa..!Wewe nakujua hunipi pressure
Jonax mambosawa..!
fresh, vipi mkuu?Jonax mambo
Cool tu mkuu, umepotea sana ulitumbuliwa nini#fresh, vipi mkuu?
Nahrene ipo siku atarudi tu.Na wewe nenda kabahatishe kwingine sasa naona Nahrene ndo basi tena
we unachunwa huku mimi nagaiwa bure![]()
![]()
![]()
![]()
Ila usijali nitakuachia siku moja ukauzie sura.