mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,920
Bagheshi wewe noma kweliNguo za mitumba zina raha yake. Na kama wewe na waliokuzunguka hamjui kilichoandikwa basi ni poa tu. Tatizo ni pale unapokutana na wanaojua maana yake, na kwa sababu ya "werevu" wao wala hawakwambii zinasemaje bali wanakucheka tu na kukupiga picha. Siyo fair kabisa!![]()
