Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,382
Tunahitaji kuwa na taasisi imara za usimamizi, ili kuepukana na haya ya kwenda kusaini mikataba LondonNazir Karamagi - fisadi aliyetia sahihi mikataba ya madini inayotusumbua mpaka leo tena usiku wa manane jijini London anatajwa kuwa ndiye tajiri namba 9 nchini Tanzania. Halafu eti mahakama ya mafisadi haina washtakiwa. Tunacheza kiduku na hatuko siriazi na nchi hii. Kamata hawa, tupa ndani halafu taifisha mali yote ili na wengine wajifunze.![]()
![]()
Yeye alishavuna chakeHasikiki kabisaa,wanaumia wengine
Too late. Ni suala la kifalsafa zaidi na kimfumo kama jamii. Bila kubadili mfumo na falsafa ya jamii kuhusu dhana nzima ya uongozi, utajiri na elimu hizo taasisi imara nazo zitafanya yale yale as long as zinaongozwa na watu ambao ni zao la falsafa na mfumo ule ule...Tunahitaji kuwa na taasisi imara za usimamizi, ili kuepukana na haya ya kwenda kusaini mikataba London
Uko vizuriHahaha kweli sie wakinga tuna chachu ya maendeleo binasfi nilianza na mtaji wa mil.4 baada ya miezi mitano nikafikisha mil.15 mwaka ukiisha natumai itafika mil.35
Tupo vizur japo complain haziishi ety sie wachawi BTW all the same sie ndo matajiri zaidi pale kariakoo
N.b sijisifii ni reality
HahahahaNguo za mitumba zina raha yake. Na kama wewe na waliokuzunguka hamjui kilichoandikwa basi ni poa tu. Tatizo ni pale unapokutana na wanaojua maana yake, na kwa sababu ya "werevu" wao wala hawakwambii zinasemaje bali wanakucheka tu na kukupiga picha. Siyo fair kabisa!![]()
Pamoja sana afande shededeAsante kwa magazine japo sikupata mda wa kuyasoma
kazi yako inapendeza mkuu
Hahahahaaa
Asante kwa ufafanuzi muruaMama Mchungaji. Inavyoonekana Mungu Aliweka tiba za kila aina katika miti. Na hii ndiyo ilikuwa chakula chetu kikuu kabla ya gharika. Karibu kila mti ambao hauna sumu una faida kitiba katika mwili wa binadamu. Tungekuwa makini tungeweza kuzuia magonjwa mengi na hata kujitibu kwa kutumia vyakula hivi vya mboga na majani. Ndiyo maana watu wanaokula sana mboga, matunda na mizizi ndiyo wanaongoza kwa kuishi miaka mingi hapa duniani.
Wanasayansi wanasema kuwa pilipili yo yote kali ina compound inayoitwa Caspaicin na inavyoonekana compound hii inaweza kusaidia kuzuia (na hata kutibu) kansa ya utumbo, kuzuia magonjwa ya moyo na kupunguza lehemu mbaya (bad cholesterol). Utafiti bado unaendelea. Hapa chini ni baadhi ya tafiti mbalimbali kuhusu jambo hili. Ubarikiwe tena na tena!
(1) http://www.express.co.uk/life-sty...tment-hot-chilli-peppers-sauce-food-symptoms
(2) http://www.medicalnewstoday.com/articles/280569.php
(3) https://m.medicalxpress.com/news/2017-01-association-hot-peppers-decreased-mortality.html
Pole sana sana



Vip kijanaNimekuelewa sana. Karibu
Shwari. KwemaVip kijana
Utakuta hapo kavaa tu na wanaoelewa wala hawamwambii maana yake bali wanaishia kumcheka na kumpiga picha. Not cool!Pole sana sana
Nafikiri kwa sikuUmesema ina idadi ya 50,000 halafu mauaji ni 31 Kati ya 100,000
Nilipata maelezo Safi kabisaNafikiri kwa siku
Wakuu leo kuna mkanganyiko mkubwa wa data
Navyosonga mbele nakuta na kujiua pia kunahesabiwa
Sehemu nyingine kujua pekee
Hivyo naishia hapa maana siwezi kuandika kitu kisichojitosheleza au kilicho tofauti na utangulizi
Hivyo tukutane kesho
************************
Ni tatizo tu lililojitokeza hivyo litanikomaza na kunifanya nizidishe umaskini siku nyingine
Samahani kwa usumbufu na post nilizopost nadelete maana siku zote huwa naandika kitu kisicho na shaka au kupotosha
............
