Makapuku Forum

Makapuku Forum

Bhinamu obe asante kwa nyuziiiii
20c463a6b815cbecd17cb7ea508f236e.jpg
iyo ni texas nilicheka sana
 
Nazir Karamagi - fisadi aliyetia sahihi mikataba ya madini inayotusumbua mpaka leo tena usiku wa manane jijini London anatajwa kuwa ndiye tajiri namba 9 nchini Tanzania. Halafu eti mahakama ya mafisadi haina washtakiwa. Tunacheza kiduku na hatuko siriazi na nchi hii. Kamata hawa, tupa ndani halafu taifisha mali yote ili na wengine wajifunze.
6c9d7829fbc6c224cfda9e6269704827.jpg
0e1ad287c3c92d62f6a94e650aa9edd5.jpg
Naunga hoja mkonyooo
 
Utafiti huu wa Makamu wa rais wa Zimbabwe kiboko. Baada ya miaka mitano mizima hatimaye utafiti wake umebainisha kuwa mayatima wengi nchini humo hawana wazazi walio hai!
e899a4915ac2c091b8e365f5a9cae2ff.jpg
Aisee inaitaji elimu ya form six kumuelewa vise president
-Kumbe kuna yatima wenye wazazi ambao wako hai
-Na yatima wenye wazazi waliokwisha fariki...

As longest wanaweza kuwa hai lakini hawawajali watoto wao so watoto watakuwa hawana tofauti na yatima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom