Makapuku Forum

Makapuku Forum

lol

Mkuu SHIMBA YA BUYENSE nachukua fursa hii adhimu kabisa na kwa moyo mkunjufu kabisa mkuu kukupa majukumu yangu ya uandishi wa story..

Obviously nilikuwa najaribu kuangalia kama kungekuwa na story humu kapuku kungekuwa vip??
Niwazi kuwa kunakuwa kunachangamka

Ile epsode yakwanza uli ihariri vizuri na ilieleweka na watu waliipenda kweli kweli

Naomba kama utaweza kuiendeleza epsode ya 3 au ukairudia epsode ya 2 mambo yatakuwa mazuri kabisa

Niwazi kuwa mimi sina kipaji cha uandishi wa liwaya ila nilikuwa najaribu kama unavyojua sie wakinga kila biashara tunajaribu

Nimeona nikupe wewe kazi iyo naamini itakuwa kazi nzuri na hadithi ya kusisimua kabisa...

My advise: tumia hisia sana katika uandishi wako wa hiyo hadithi

ALL THE BEST
 
Hapana. Mimi nilijitolea kuwa mhariri tu. Kuandika naweza lakini siwezi kuendeleza hadithi yako kwa sababu sitaitendea haki.

Watu wote waliokukosoa katika episode 2 walikuwa na lengo la kukujenga na siyo kukukatisha tamaa. Kuandika unaweza sana sema tu pengine ulikuwa huna muda na hukutulia sawa sawa.

Pengine uko bize. Ukitulia please rudi angalau utumalizie hadithi yetu hata ikibidi uifupishe yote katika sehemu ya 3. Hutatutendea haki kutumegea kidogo hicho halafu utuache katika taharuki (suspense). Ni lazima tujue hicho kiumbe ni nini, kimetoka wapi na kwa nini kimekuja duniani, na ujasiri wa Chief Commander McClaw. Naanzisha hii hashtag hapa Makapuku:

# Shedede Finish Our Story #
[HASHTAG]#Shedede[/HASHTAG] Finish Our Story#
 
Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.

Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.

Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku Bitoz shukrani kwake

Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.

Karibu sana

Bitoz
JF Makapuku Founder

Jimena
JF Makapuku assistant Founder

Th Name JF Makapuku assistant Founder

Ili kusonga lazima kuwa na wazo, kila mtu kuwa mbunifu, kujaribu, kutenda, kuwekeza, kutumia kwa kiasi na kuweka akiba kadri tuwezavyo.... hii itasaidia sana... katika maisha kuna kanuni nne ambazo ni nguvu, udhaifu, changamoto na fursa kwa ufupi NUFC) sasa NU yaani nguvu na Udhaifu inahusu mazingira yote ambayo tuna uamuzi nayo na FC ina husu mazingira ya nje ambayo hatuna nayo uwezo ila kwetu kwan ndani ni faida... hivyo kila mtu akijipanga vyema lazima tutasonga.
 
Asante sana,nafahamu kuwa chakula,mimea,matunda ni dawa ni kanuni ya kibiblia pia,tunashauriwa turejee katika bustani ya Eden,na tuyaishi maisha yale mahali ambapo wazazi wetu wa mwanzo waliishi kwa kula mimea,mizizi,matunda...hapo kwenye pilipili nilipoona picha nikashawishika kuuliza nikifikiri kuwa kuna tafiti maalumu khs hizi pilipili...nakushukuru sana kwa elimu zaidi ubarikiwe
Ni kweli Mtumishi. Baada ya gharika tukaanza kula nyama. Japo ilitupatia protini nyingi imetuletea madhara mengi ikiwemo kutupunguzia muda wa kuishi. Hivi karibuni tumejivika Uungu na kuanza kubadilisha DNA ya mimea ili iweze kutunufaisha zaidi; na kwa kufanya hivyo pengine tunajitafutia matatizo zaidi.

Kama nilivyosema hapo juu, pili pili yo yote kali (ziko aina kibao za pilipili kali) ina hiyo compound inayosemekana kuwa na sifa ya kupambana na kansa na magonjwa ya moyo.
 
Ili kusonga lazima kuwa na wazo, kila mtu kuwa mbunifu, kujaribu, kutenda, kuwekeza, kutumia kwa kiasi na kuweka akiba kadri tuwezavyo.... hii itasaidia sana... katika maisha kuna kanuni nne ambazo ni nguvu, udhaifu, changamoto na fursa kwa ufupi NUFC) sasa NU yaani nguvu na Udhaifu inahusu mazingira yote ambayo tuna uamuzi nayo na FC ina husu mazingira ya nje ambayo hatuna nayo uwezo ila kwetu kwan ndani ni faida... hivyo kila mtu akijipanga vyema lazima tutasonga.
Nimekuelewa sana. Karibu
 
Ni kweli Mtumishi. Baada ya gharika tukaanza kula nyama. Japo ilitupatia protini nyingi imetuletea madhara mengi ikiwemo kutupunguzia muda wa kuishi. Hivi karibuni tumejivika Uungu na kuanza kubadilisha DNA ya mimea ili iweze kutunufaisha zaidi; na kwa kufanya hivyo pengine tunajitafutia matatizo zaidi.

Kama nilivyosema hapo juu, pili pili yo yote kali (ziko aina kibao za pilipili kali) ina hiyo compound inayosemekana kuwa na sifa ya kupambana na kansa na magonjwa ya moyo.
Asante sana ubarikiwe
 
10/Afrika Kusini
57537802179b07811e44d8c23cfc52a4.jpg
c3f3abf4fb1b3a41c731e7c1ded3d217.jpg

Inajulikana kama Rainbow Nation...Ni Taifa lenye watu zaidi ya milioni 54
Ni Taifa lenye kiwango kikubwa cha vurugu,ubakaji,mashambulizi,wizi n.k
Kuna asiyekijua alichokifanya Oscar Pistorious kwa mpenzi wake aitwaye Reeva?
Kiwango chao cha maiaji ni watu 31
.......
kwa Zulu Natal
 
9/Saint Kitts and Nevis
90b41814ab423c87fa362ca72f9552fc.jpg
8d4bf20207f68637e6a9c227e32d63bd.jpg

Hawa jamaa ni kama vile wamekopi na kupesti bendera yetu...ni kanchi kadogo kasichojulikana sana
Inapatikana huko West Indies mabara ya America ikiwa na idadi ya wananchi 50,000 tu
Kiwango chao cha Mauaji ni watu 33 kwa kila 100,000
....
napenda sana kuishi ndani ya nchi kama hizi population ni ndogo sana
 
Mimi niko salama. Shedede kapotea pamoja na mkewe. Pengine wana marital issues kwa sababu mbwembwe walizoanza nazo hapa ilikuwa kasheshe. I hope hawajambo huko waliko.

Ile sehemu ya pili iliyokuwa ineripuliwa tu na typos kibao watu walimsema sana (kwa lengo la kumsaidia). Pengine alikereka na ameamua kumwaga manyanga. Ngoja tusubiri!
Hebu tusubiri tuone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom