Hapana. Mimi nilijitolea kuwa mhariri tu. Kuandika naweza lakini siwezi kuendeleza hadithi yako kwa sababu sitaitendea haki.
Watu wote waliokukosoa katika episode 2 walikuwa na lengo la kukujenga na siyo kukukatisha tamaa. Kuandika unaweza sana sema tu pengine ulikuwa huna muda na hukutulia sawa sawa.
Pengine uko bize. Ukitulia please rudi angalau utumalizie hadithi yetu hata ikibidi uifupishe yote katika sehemu ya 3. Hutatutendea haki kutumegea kidogo hicho halafu utuache katika taharuki (suspense). Ni lazima tujue hicho kiumbe ni nini, kimetoka wapi na kwa nini kimekuja duniani, na ujasiri wa Chief Commander McClaw. Naanzisha hii hashtag hapa Makapuku:
# Shedede Finish Our Story #