Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tuwe na siku njema wakuu..

But remember ....

cc1e49519f1c7244ec5a0edfa84d60b8.jpg

Shukrani
Shukran Rafiki kipenz
 
Nazir Karamagi - fisadi aliyetia sahihi mikataba ya madini inayotusumbua mpaka leo tena usiku wa manane jijini London anatajwa kuwa ndiye tajiri namba 9 nchini Tanzania. Halafu eti mahakama ya mafisadi haina washtakiwa. Tunacheza kiduku na hatuko siriazi na nchi hii. Kamata hawa, tupa ndani halafu taifisha mali yote ili na wengine wajifunze.
6c9d7829fbc6c224cfda9e6269704827.jpg
0e1ad287c3c92d62f6a94e650aa9edd5.jpg
 
Umeshindaje mhariri wetu vp Shedede bado hajaleta hadithi ihaririwe
Mimi niko salama. Shedede kapotea pamoja na mkewe. Pengine wana marital issues kwa sababu mbwembwe walizoanza nazo hapa ilikuwa kasheshe. I hope hawajambo huko waliko.

Ile sehemu ya pili iliyokuwa ineripuliwa tu na typos kibao watu walimsema sana (kwa lengo la kumsaidia). Pengine alikereka na ameamua kumwaga manyanga. Ngoja tusubiri!
 
Nazir Karamagi - fisadi aliyetia sahihi mikataba ya madini inayotusumbua mpaka leo tena usiku wa manane jijini London anatajwa kuwa ndiye tajiri namba 9 nchini Tanzania. Halafu eti mahakama ya mafisadi haina washtakiwa. Tunacheza kiduku na hatuko siriazi na nchi hii. Kamata hawa, tupa ndani halafu taifisha mali yote ili na wengine wajifunze.
6c9d7829fbc6c224cfda9e6269704827.jpg
0e1ad287c3c92d62f6a94e650aa9edd5.jpg
Hasikiki kabisaa,wanaumia wengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom