Makapuku Forum

Makapuku Forum

1c740fb3d7d513b232013b39d5ab7bb6.jpg
 
Wasomi wengine mna tatizo hili. Mtu anataka kuanzisha biashara basi business plan, mara sijui nadharia gani ya kiuchumi inasema hivi ali mradi ni analysis after analysis. Mkinga Shedede yeye akiamua ameamua na kesho na keshokutwa unamkuta kafikisha maduka saba msomi huku bado anafanya uchambuzi wa kibiashara...
Hahaha kweli sie wakinga tuna chachu ya maendeleo binasfi nilianza na mtaji wa mil.4 baada ya miezi mitano nikafikisha mil.15 mwaka ukiisha natumai itafika mil.35

Tupo vizur japo complain haziishi ety sie wachawi BTW all the same sie ndo matajiri zaidi pale kariakoo

N.b sijisifii ni reality
 
Asante mkuu SHIMBA,naweza kula yoyote au mbegu hii tu,ingawa huwa situmii pilipili kabisa,nitatumia kwa ajili ya kinga
Mama Mchungaji. Inavyoonekana Mungu Aliweka tiba za kila aina katika miti. Na hii ndiyo ilikuwa chakula chetu kikuu kabla ya gharika. Karibu kila mti ambao hauna sumu una faida kitiba katika mwili wa binadamu. Tungekuwa makini tungeweza kuzuia magonjwa mengi na hata kujitibu kwa kutumia vyakula hivi vya mboga na majani. Ndiyo maana watu wanaokula sana mboga, matunda na mizizi ndiyo wanaongoza kwa kuishi miaka mingi hapa duniani.

Wanasayansi wanasema kuwa pilipili yo yote kali ina compound inayoitwa Caspaicin na inavyoonekana compound hii inaweza kusaidia kuzuia (na hata kutibu) kansa ya utumbo, kuzuia magonjwa ya moyo na kupunguza lehemu mbaya (bad cholesterol). Utafiti bado unaendelea. Hapa chini ni baadhi ya tafiti mbalimbali kuhusu jambo hili. Ubarikiwe tena na tena!

(1) http://www.express.co.uk/life-sty...tment-hot-chilli-peppers-sauce-food-symptoms

(2) http://www.medicalnewstoday.com/articles/280569.php

(3) https://m.medicalxpress.com/news/2017-01-association-hot-peppers-decreased-mortality.html
 
lol

Mkuu SHIMBA YA BUYENSE nachukua fursa hii adhimu kabisa na kwa moyo mkunjufu kabisa mkuu kukupa majukumu yangu ya uandishi wa story..

Obviously nilikuwa najaribu kuangalia kama kungekuwa na story humu kapuku kungekuwa vip??
Niwazi kuwa kunakuwa kunachangamka

Ile epsode yakwanza uli ihariri vizuri na ilieleweka na watu waliipenda kweli kweli

Naomba kama utaweza kuiendeleza epsode ya 3 au ukairudia epsode ya 2 mambo yatakuwa mazuri kabisa

Niwazi kuwa mimi sina kipaji cha uandishi wa liwaya ila nilikuwa najaribu kama unavyojua sie wakinga kila biashara tunajaribu

Nimeona nikupe wewe kazi iyo naamini itakuwa kazi nzuri na hadithi ya kusisimua kabisa...

My advise: tumia hisia sana katika uandishi wako wa hiyo hadithi

ALL THE BEST
 
TOP TEN
Leo tuangalie nchi zinazoongoza kwa mauaji duniani
Naongelea kuhusu uhalifu wa watu kuuawa(murder)
Hivyo siongelei masuala ya vita wala watu kujinyonga bali watu kuuawa kwa kuchomwa moto,visu,kupigwa risasi,kipigo n.k

NB
Kigezo kinachotumika ni kuangalia idadi ya watu wanaouawa kwa kila watu 100k(laki 1)
.....
 
Mama Mchungaji. Niwazi kuwa Mungu Aliweka tiba za kila aina katika miti. Na hii ndiyo ilikuwa chakula chetu kikuu kabla ya gharika. Karibu kila mti ambao hauna sumu una faida kitiba katika mwili wa binadamu. Tungekuwa makini tungeweza kuzuia magonjwa mengi na hata kujitibu kwa kutumia vyakula hivi vya mboga na majani. Ndiyo maana watu wanaokula sana mboga, matunda na mizizi ndiyo wanaongoza kwa kuishi miaka mingi hapa duniani.

Wanasayansi wanasema kuwa pilipili yo yote kali ina compound inayoitwa Caspaicin na inavyoonekana compound hii inaweza kusaidia kuzuia (na hata kutibu) kansa ya utumbo, kuzuia magonjwa ya moyo na kupunguza lehemu mbaya (bad cholesterol). Utafiti bado unaendelea. Hapa chini ni baadhi ya tafiti mbalimbali kuhusu jambo hili. Ubarikiwe tena na tena!

(1) http://www.express.co.uk/life-sty...tment-hot-chilli-peppers-sauce-food-symptoms

(2) http://www.medicalnewstoday.com/articles/280569.php

(3) https://m.medicalxpress.com/news/2017-01-association-hot-peppers-decreased-mortality.html
 
TOP TEN
Leo tuangalie nchi zinazoongoza kwa mauaji duniani
Naongelea kuhusu uhalifu wa watu kuuawa(murder)
Hivyo siongelei masuala ya vita wala watu kujinyonga bali watu kuuawa kwa kuchomwa moto,visu,kupigwa risasi,kipigo n.k

NB
Kigezo kinachotumika ni kuangalia idadi ya watu wanaouawa kwa kila watu 100k(laki 1) kwa mwaka
.....
Tiririka mkuu

kazi yako ninjema
 
lol

Mkuu SHIMBA YA BUYENSE nachukua fursa hii adhimu kabisa na kwa moyo mkunjufu kabisa mkuu kukupa majukumu yangu ya uandishi wa story..

Obviously nilikuwa najaribu kuangalia kama kungekuwa na story humu kapuku kungekuwa vip??
Niwazi kuwa kunakuwa kunachangamka

Ile epsode yakwanza uli ihariri vizuri na ilieleweka na watu waliipenda kweli kweli

Naomba kama utaweza kuiendeleza epsode ya 3 au ukairudia epsode ya 2 mambo yatakuwa mazuri kabisa

Niwazi kuwa mimi sina kipaji cha uandishi wa liwaya ila nilikuwa najaribu kama unavyojua sie wakinga kila biashara tunajaribu

Nimeona nikupe wewe kazi iyo naamini itakuwa kazi nzuri na hadithi ya kusisimua kabisa...

My advise: tumia hisia sana katika uandishi wako wa hiyo hadithi

ALL THE BEST
Hapana. Mimi nilijitolea kuwa mhariri tu. Kuandika naweza lakini siwezi kuendeleza hadithi yako kwa sababu sitaitendea haki.

Watu wote waliokukosoa katika episode 2 walikuwa na lengo la kukujenga na siyo kukukatisha tamaa. Kuandika unaweza sana sema tu pengine ulikuwa huna muda na hukutulia sawa sawa.

Pengine uko bize. Ukitulia please rudi angalau utumalizie hadithi yetu hata ikibidi uifupishe yote katika sehemu ya 3. Hutatutendea haki kutumegea kidogo hicho halafu utuache katika taharuki (suspense). Ni lazima tujue hicho kiumbe ni nini, kimetoka wapi na kwa nini kimekuja duniani, na ujasiri wa Chief Commander McClaw. Naanzisha hii hashtag hapa Makapuku:

# Shedede Finish Our Story #
 
Mama Mchungaji. Inavyoonekana Mungu Aliweka tiba za kila aina katika miti. Na hii ndiyo ilikuwa chakula chetu kikuu kabla ya gharika. Karibu kila mti ambao hauna sumu una faida kitiba katika mwili wa binadamu. Tungekuwa makini tungeweza kuzuia magonjwa mengi na hata kujitibu kwa kutumia vyakula hivi vya mboga na majani. Ndiyo maana watu wanaokula sana mboga, matunda na mizizi ndiyo wanaongoza kwa kuishi miaka mingi hapa duniani.

Wanasayansi wanasema kuwa pilipili yo yote kali ina compound inayoitwa Caspaicin na inavyoonekana compound hii inaweza kusaidia kuzuia (na hata kutibu) kansa ya utumbo, kuzuia magonjwa ya moyo na kupunguza lehemu mbaya (bad cholesterol). Utafiti bado unaendelea. Hapa chini ni baadhi ya tafiti mbalimbali kuhusu jambo hili. Ubarikiwe tena na tena!

(1) http://www.express.co.uk/life-sty...tment-hot-chilli-peppers-sauce-food-symptoms

(2) http://www.medicalnewstoday.com/articles/280569.php

(3) https://m.medicalxpress.com/news/2017-01-association-hot-peppers-decreased-mortality.html
Asante sana,nafahamu kuwa chakula,mimea,matunda ni dawa ni kanuni ya kibiblia pia,tunashauriwa turejee katika bustani ya Eden,na tuyaishi maisha yale mahali ambapo wazazi wetu wa mwanzo waliishi kwa kula mimea,mizizi,matunda...hapo kwenye pilipili nilipoona picha nikashawishika kuuliza nikifikiri kuwa kuna tafiti maalumu khs hizi pilipili...nakushukuru sana kwa elimu zaidi ubarikiwe
 
Nazir Karamagi - fisadi aliyetia sahihi mikataba ya madini inayotusumbua mpaka leo tena usiku wa manane jijini London anatajwa kuwa ndiye tajiri namba 9 nchini Tanzania. Halafu eti mahakama ya mafisadi haina washtakiwa. Tunacheza kiduku na hatuko siriazi na nchi hii. Kamata hawa, tupa ndani halafu taifisha mali yote ili na wengine wajifunze.
6c9d7829fbc6c224cfda9e6269704827.jpg
0e1ad287c3c92d62f6a94e650aa9edd5.jpg
Duuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom