Makapuku Forum

Makapuku Forum

Habari za asubuhi Makapuku.
Naomba samahani kwa wapenzi wote wa gitaa kwa link mbovu iliyotokea jana usiku. Ndo changamoto ya tech hiyo na simu niliyoletewa na anko Lee ina mbwembwe nyingi.

najaribu kukirudia kibao nilichokipandisha jana. Kifupi tu nilisema, Michael Bolton mbali na kuimba anajua sana kupiga gitaa akiwa kishawahi kupiga katika band ya muziki wa Rock.

Na jamaa ni vegetarian😀


Asante sana Obe,usiku nilikesha kusubiri gitaa,napenda sana,Michael Bolton yuko vizuri,asante sana siku njema kwako
 
Leo katika Historia:

1910 - Union of South Africa yaanzishwa.
3de0d70183286295b7364c92259a9e47.jpg
8e2ba3b9a86597a712a24db3dac2339e.jpg
20043b9885987cbb39906dfca1c90055.jpg

Ilitokana na kuunganishwa kwa makoloni manner ya Mwingereza
Koloni la Cape,Koloni la Transvaal,Koloni la Orange River na Koloni la Natal
Ambayo yalikuwa ni makoloni tofauti kipindi cha utawala wa Waingereza
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom