Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,950
- 9,880
Si wangemtafuta ili watunze specie yake jamani!!! Its so beautiful
Si wangemtafuta ili watunze specie yake jamani!!! Its so beautiful
1945 - Laurent Gbagbo anazaliwa.
Ni Rais wa 4 wa Ivory Coast.
AsanteTuwe na siku njema wakuu..
But remember ....
![]()
Shukrani
1989 - Marco Reus anazaliwa.
Winga mahiri wa Borussia Dortmund.
- Siku ya kupinga matumizi ya Tumbaku duniani.
Hivi haya mafuta yanasafirishwa kutoka wapi kwenda wapi? Au ndio hayo yanayodaiwa kuibiwa huko uarabuni???
Pamoja sana!!Asante mwenyekiti
Asante mkuu, nipe picha.Hongera sana mwenyekiti Mussolin5
200k sio swala dogo
Asante kwa kuwakilisha vyema chama kubwa la timu weka picha
This is Africa.![]()
Aling'ang'ania kulala Ikulu hata baada ya kushindwa Uchaguzi![]()
Matokeo yake yeye na First Lady wakatolewa Ikulu na wanajeshi km mbwa
.....
Sasa hii waliyokuwa wanaitafuta ni fedheha![]()
Aling'ang'ania kulala Ikulu hata baada ya kushindwa Uchaguzi![]()
Matokeo yake yeye na First Lady wakatolewa Ikulu na wanajeshi km mbwa
.....
Kama hapa Bongo kuna wakati flani kampuni ya Sigara ( TCC ) ilikuwa ndio inaongoza kwa kulipa kodi vizuri.![]()
![]()
![]()
Wanapinga tu kwa maneno ila kuzuia uzalishaji wa tumbaku au kufungia viwanda vya sigara hawawezi
Ni chanzo kikubwa cha mapato katika nchi nyingi duniani
.......
Ni bomba lenye kipenyo cha inch 48 au 122 CmMmmmh