tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,779
- 31,293
Sawa mkuu,samahani kwa kukukwazaDua za Kuku dhidi ya Mwewe

Siku yangu ishaharibikaMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Hivi mnapata faida gani kwa kuzuazua mambo!?Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Sio kweli
let him wear it
Bob Marley
Duh!... kazi kweli kweli...Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Hawezi... Hawezi kukata gogo alilokalia.kwanini wakati alisema tudai katiba, au yeye sio mtanganyika na katiba haimuhusu?
Akili yako ngumu sana kama jiwe.Kwa huu uandishi barua haijatoka kwenye ofisi ya makamu wa rais, labda kama vishoka wamemwandikia
Jamaa unatapatapa sana,kuna sehem umawadharau wanaoamini kujiuzulu kwa nchimbi lakini muda unavyokwenda nimeanza kuona wewe ndiye unapaswa kudharauliwa
Kapost mwenyewe IG kosa sio la mleta mada.Kuwa na subira ukweli utajulikanaSikuhizi ukimiliki smartphone Tu unakuwa mchambuzi wa siasa....
Hii barua yako ya darasa la nne nenda nayo Facebook
🤔🤔 Mungu kanifundisha kunyamazaHawezi... Hawezi kukata gogo alilokalia.
Nenda kwenye page ya Nchimbi ili ujue kama ni uzushi au vipi. Halafu unadhani JF ni wajinga kiasi hicho waruhusu uzushi kwa jambo kubwa kama hili?Hivi mnapata faida gani kwa kuzuazua mambo!?
Halafu mkidakwa mnalalamika