Makaidi atoboa siri urais UKAWA

Makaidi atoboa siri urais UKAWA

Hahaha Molemo na mwaka huu utakuwa mgumu sana kwao manake hakuna tena wale vibaraka wao wachumia tumbo waliokuwa wanawahonga .... tutawatandika kweli sio utani! Ndio maana wanatamani kusitisha daftari la kudumu manake wanajua ambavyo vijana wengi tuna hasira nao!

Siku zao ni chache mno na zinahesabika... Tuombeane uzima ili tufike wote nchi ya ahadi


CCM ni kama ugonjwa wa kansa, kupona ni vigumu..
 
Last edited by a moderator:
Jamani hivi kuna chama cha ukawa ambacho kina usajili wa kudumu Tanzania jamani tusifanyane wapumbavu kwenye hilo,
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    6.3 KB · Views: 205
Hapo Mgombea ni MMoja tu Makongoro wengine wacheza show wake kwenye Bendi yake Vibaka Jazz Band

Na makundi yenu kila fisad anautaka Urahis kwa ccm,
UKAWA haina papara na wala haitingishiki, si mliwadangaya Watz maisha bora yako wapi haya maisha bora??? Ewe mfu wa ccm badilika kama Watz wenzako hapo umepotea rudi njia kuu UKAWA.
 
Molemo

Nasubiria kwa hamu sana kuona mchakato wa kumpata mgombea wa UKAWA utakavyokua.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sina chama ila ninachokwazika ni kuwa kama Rais atatoka Cuf mgombea mwenza atatokea chama gani? Wakati katiba ya nchi yetu haijaruhusu muunganiko wa vyama vya siasa
 
UKAWA ilishakufa kabla haijazaliwa, hayo yote wanayoyafanya ni maombolezo wakati tukisubiri mazishi tarehe 25/10.
 
Sasa mbona magazeti walisema UKAWA hakukaliki? Ooo urais unaigawa UKAWA Sasa itakuwaje jamani ccm hoye!

MKuu labda Uligeuza gazeti ulikuwa unazungumzia CCM, maana huko ndio Mpaka sasa Chama Kina KAMBI 30 za wagombea, Hivi Hujasikia Yalio Mpata MEMBE leo huko Mbeya, Wana CCM wenzie wamemtenga? sasa kutakalika vipi?
 
Rais wa mwaka huu atatoka CCM!!

Sijasema atashinda wa CCM, ila atatoka huko.

Watch this space.
Huu ni ukweli mchungu kweli kweli kumeza ila ndio ukweli wenyewe, rais wa 2015 ni kutoka CCM!, either kupitia CCM, Ukawa or ACT, ikulu yetu ni ya mtu mmoja tuu, "the one and only!".

Pasco
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom