Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Rais wa mwaka huu atatoka CCM!!
Sijasema atashinda wa CCM, ila atatoka huko.
Watch this space.
Ndio mnavyo danganyana kwenye ile michezo yenu ya Futuhi?
Rais wa mwaka huu atatoka CCM!!
Sijasema atashinda wa CCM, ila atatoka huko.
Watch this space.
Hueleweki
Rais wa mwaka huu atatoka CCM!!
Sijasema atashinda wa CCM, ila atatoka huko.
Watch this space.
Makaidi ameonyesha bado Ukawa hautetereki.....
Go go go Ukawa...Tumaini la watanzania
Amen KamandaUKAWA ipo Imara zaidi ya magamba waijuavyo tumuombe Mungu uzima tu atufikishe Octoba historia mpya na nzuri inakwenda kutokea Tanzania
Na ndio maana hawataki tuimarishe Red BrigadeAtakuwa anamaanisha wataiba kura za UKAWA ... manake kuna tofauti kati ya kutoka na kushinda kamanda Shark .. ila waliiba za dr uchaguzi uliopita wanafikiri wataweza kuiba tena mwaka huu.... safari hii tutawalinda wezi mpaka tone la mwisho
sasa kazi ya kuizika CCM rasmi imeanza...
Atakuwa anamaanisha wataiba kura za UKAWA ... manake kuna tofauti kati ya kutoka na kushinda kamanda Shark .. ila waliiba za dr uchaguzi uliopita wanafikiri wataweza kuiba tena mwaka huu.... safari hii tutawalinda wezi mpaka tone la mwisho
Makaidi ameonyesha bado Ukawa hautetereki.....
Go go go Ukawa...Tumaini la watanzania[/QU
Ccm wakisikia hivyo wanapigana vikumbo kutaka kuiua UKAWA .... oct lazima tuandike historia mpya kabisa... Mungu ibariki UKAWA na viongozi wake
Sasa mbona magazeti walisema UKAWA hakukaliki? Ooo urais unaigawa UKAWA Sasa itakuwaje jamani ccm hoye!
Ndio mnavyo danganyana kwenye ile michezo yenu ya Futuhi?
sweetlady
Wanapaswa kufahamu kwamba kila Kata nchi hii tuna Red Brigade 200.Wasitarajie kuiba hata kura moja.Tutawacharaza bakora kama mbwa koko.Mimi binafsi nitaongoza vikosi vya RB katani kwangu.