Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,801
- 8,405
Kabisa abdal kichwa waz alitake control 😃😃Nimetapeliwa na demu pale SGR station Dodoma kwa njia ya ajabu Sana kwa ("ahadi ya mapenzi.")
Kichwa cha chini kilikuwa kimeshapata moto, ukashindwa kuushirikisha ubongo vizuri, usitafute mchawi nani, ni wewe mwenyewe.
kaka usitabiria mabaya, nyeto n uraibu wangu,na tena na ogopa wadadaUnajiita mfalme wewe utakua unapigia nyeto mpaka dada zako wa kuzaliwa tumbo moja au mama zako wadogo, wakubwa na shangazi zako wote unawapigia nyeto, kiufupi endelea majibu utayapata baadae ukishafika 50
Hauwezi kuiva kabla haujaivishwa , walokole mnajidanganya sana🚮Umeiva mkuu 😅
Umenifurahisha hapo unatafuta lodge , na ndicho nilikuwa nifinya enzi zq ujana, never kulala na mwanamke kwenye chumba kimoja, hii ilinipa sana shida hata nilipo oa, sikuwa nalala na mke wangu, nilishazoe nakamua kila mtu analala kivyake
😅😅😅sawaTayana-wog mimi kwenye pombe na kupoteza pesa ambazo ni last dance kwangu , ni kawaida tu , ndio maana mtu akitaka ushauri wa kuacha pombe anapaswa anisikilize mimi min kwa umakini sana🤣
Mbona unavamia watu kiholela holela mkuu ? Nani kakuambia mie mlokole ?Hauwezi kuiva kabla haujaivishwa , walokole mnajidanganya sana🚮
Hahaha seran ni legend wangu pia 🤣🤣🤣 walokole japo ni viazi ila mna ushauri wa maana pia😅😅
Mwanaume ambae ni matured enough, hawezi kurisk na mwanamke kitanda kimoja asiyekuwa mkewe. Yaani mwanamke tumekutana leo, na leoleo tulale pamoja? Hata huo usingizi unakujaje?Umeiva mkuu 😅
Umenifurahisha hapo unatafuta lodge , na ndicho nilikuwa nifinya enzi zq ujana, never kulala na mwanamke kwenye chumba kimoja, hii ilinipa sana shida hata nilipo oa, sikuwa nalala na mke wangu, nilishazoe nakamua kila mtu analala kivyake
Kwahiyo hirizi akauze😧Ni mwiko mganga kuhonga hela😂
Atajuwa mwenyewe😀Kwahiyo hirizi akauze😧
Sijapenda babu😪Atajuwa mwenyewe😀
Tatizo langu na akili nyingi mpaka na kept records ndogo ndogo mno hasa nikilewa 🤣Mbona unavamia watu kiholela holela mkuu ? Nani kakuambia mie mlokole ?
Bwashee ukubwa dawaHiyo kitaalamu inaitwa Trust at first sight
Huyo alikuwa type yako mkuu,Ila yule binti alikuwa na roho ngumu sana aisee just imagine aliipokea ile hirizi😀
😀😀😀 sikutaka zambi mkuuHuyo alikuwa type yako mkuu,
Daaah...!!
Sijui ulifeli wapi .?