Makaburi ya Ma-Don na wauza unga wa Mexico

Vita ya heshima, visasi na ubabe huwa haiishi mpaka kifo... Kwahiyo adui wa kibiashara anaweza kuja kwenye nyumba ya kaburi lako akafanya ushenzi... Ama akatumia mwanya wa kuwafanyia kitu kibaya jamaa zako na ndugu zako watakaokuja kukutembelea
Mkuu hatuwezi pata mifano ya vita hizi kwa hawa watu na majeshi, Marais n.k maana huku mtaani hizi vita hadi tushazizoea.
 
Wewe unaita madon wapuuzi ..una akili kabisa wewe
Tatizo serikali zinawadekeza au aidha kuna kitu serikali inakipata kwa watu.

Naamini kama serikali zingekuwa thabiti na kufanya maamuzi hawa wapuuzi wasingekuwepo katika uso wa dunia yaani dakika chache tu.
 
The Cocaine Godmother.. acha kabisa huyu mama.

Hiyo tamthilia yake nilikuwa nagombana na wife lazima niiangalie huku na yeye ana tamthilia yake nyingine,lakini na yeye akaja kumkubali huyo mwanamama ikamlazimu aungane na mimi kumwangalia 'black widow'
 
Mshana Jr,
Asante kwa makala nzuri. Mie ni mpenzi wa kusoma habari za hawa MAFIA tangu nipewe story kuhusu kitabu cha THE GODFATHER cha Mario Puzo.

Katika wote ulioandika, nilikuja kushangaa sana kusoma Story ya FRANK LUCAS.
Hii ilikuwa baada ya kuangalia film ya AMERICAN GANGSTER aliyocheza Denzel WASHINGSTON.

Frank kwanza alikuwa ni Mtu Mweusi. Ni mmoja ya watu wachache duniani aliyewasaliti MAFIA na akaendelea kuishi kwa miaka mingi bila ya kuuawa. Huyu aliwachomea Mafia na wakakamatwa wengi na kufungwa.
Jamaa alileta unga kwenye majeneza ya Askari wa USA waliokufa Vietnam kwenye vita.

Sijui nimwite alikuwa na BAHATI au alikuwa na akili sana.
Kama Mtu hajaiona hii film basi ni vema kuiangalia.

1571228092662.png

FRANK LUCAS katika ubora wake.

1571228185277.png

1571228260376.png

Denzel Washington akicheza kama FRANK LUCAS.

BTW: Sikujua kuwa Frank ameshafariki. Habari ilinipita kushoto.

Hii ndio orodha ya top five ya wazungu wa unga waliovuma zaidi.

1. Joaquin Guzman (JO)
2. Pablo Escober 1949- 1993
3. Frank Lucas 1930- 2019
4. Ismai Zambaga Garcia
5. Amado Carrilo Fueten
Halafu kuna mwanamama pekee Griselda Blanco.
 
Mshana Jr,
Asante kwa makala nzuri. Mie ni mpenzi wa kusoma habari za hawa MAFIA tangu nipewe story kuhusu kitabu cha THE GODFATHER cha Mario Puzo.

Katika wote ulioandika, nilikuja kushangaa sana kusoma Story ya FRANK LUCAS.
Hii ilikuwa baada ya kuangalia film ya AMERICAN GANGSTER aliyocheza Denzel WASHINGSTON.

Frank kwanza alikuwa ni Mtu Mweusi. Ni mmoja ya watu wachache duniani aliyewasaliti MAFIA na akaendelea kuishi kwa miaka mingi bila ya kuuawa. Huyu aliwachomea Mafia na wakakamatwa wengi na kufungwa.
Jamaa alileta unga kwenye majeneza ya Askari wa USA waliokufa Vietnam kwenye vita.

Sijui nimwite alikuwa na BAHATI au alikuwa na akili sana.
Kama Mtu hajaiona hii film basi ni vema kuiangalia.

View attachment 1235113
FRANK LUCAS katika ubora wake.

View attachment 1235114
View attachment 1235115
Denzel Washington akicheza kama FRANK LUCAS.

BTW: Sikujua kuwa Frank ameshafariki. Habari ilinipita kushoto.
Nitaiangalia hii makitu
 
Yeah asante sana halafu mshkaji kafa mwaka huu yani bado wa moto huko kaburini hata minyoo haijamaliza ndafu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom