Makaburi ya Ma-Don na wauza unga wa Mexico

Makaburi ya Ma-Don na wauza unga wa Mexico

Pablo escoba drag diller.
Screenshot_2019-09-27-22-34-21.jpg
 
Tatizo serikali zinawadekeza au aidha kuna kitu serikali inakipata kwa watu.

Naamini kama serikali zingekuwa thabiti na kufanya maamuzi hawa wapuuzi wasingekuwepo katika uso wa dunia yaani dakika chache tu.
The world is run by the criminals
 
Swahiba inabidi kubadilisha matumizi maana watu tuna kaa vibanda umiza huku tunapumua waqt watu wametangulia mbele ya haki wamefunikwa na utajiri hapo ndo mungu anapoonyesha yeye ndie mtawala
[emoji30][emoji15][emoji144][emoji144][emoji3][emoji24]
 
Kuna huyu mwamba... Ni wauza madawa wengi sana wameuliwa na polisi.... Marekani imesha wala sana vichwa wale ma bosses, lakini bado biashara ya unga inatembea kama kawaida...

*Nazario Moreno González

A.k.a

-El Chayo
-El Dulce ('The Candy' or 'The
Sweet One')
-El Doctor
-El Más Loco ('The Craziest
One')
-Víctor Nazario Castrejón Peña
-Emiliano Morelos Guervara
-Ernesto Morelos Villa
 
Back
Top Bottom