Makaburi ya Ma-Don na wauza unga wa Mexico

Makaburi ya Ma-Don na wauza unga wa Mexico

Napenda kutazama channel moja hivi ya CBS REALITY humo utakutana na vipindi kama BORDER SECURITY na kile cha mpakani kati ya Mexico na marekani.

Hawa jamaa wa madawa ni watu wenye akili sana,hasa pale mpakani mwa Mexico jamaa wana kila aina ya technology ila hawaogopi kabisa na jamaa wana ujuzi wa hali ya juu kwenye kusafirisha madawa.Harafu najaribu kuvuta picha na hizi border za kwetu mmmhhhh!!!!
Mkuu hatari tupu
 
@ Mshana Jr Mexico kuna mwanzilishi anaitwa Miguel Rodriguez akiwa pamoja na Rafael Caro Quientero ..story yao ipo interested Mkuu
Series ya NARCOS MEXICO.... Imewaeleza fresh sana. Jamaa walikuwa wanalima tu bangi .... Waliposikia kuna chuma ESCOBAR wakkaenda kumuomba dili la kusambaza ndio mwanzo wa madawa kuingia mexico
 
Series ya NARCOS MEXICO.... Imewaeleza fresh sana. Jamaa walikuwa wanalima tu bangi .... Waliposikia kuna chuma ESCOBAR wakkaenda kumuomba dili la kusambaza ndio mwanzo wa madawa kuingia mexico
Wanasema like shamba walilolima bangi ni moja ya agriculture project kubwa sana dunia zilizofanikiwa maana kwanza walilima sehemu kame sana haina hata rutuba kwanza wakachimba miamba kutafuta maji halafu wakatutubisha udongo
 
Tatizo serikali zinawadekeza au aidha kuna kitu serikali inakipata kwa watu.

Naamini kama serikali zingekuwa thabiti na kufanya maamuzi hawa wapuuzi wasingekuwepo katika uso wa dunia yaani dakika chache tu.
Serekali ni watu, na ndo watu/jamii ile ile miongoni mwa wahalifu.

Kumbuka hawa mangadalist hawajatoka mbinguni!

Ukifuatilia pia utagundua hii kitu ipo ndani ya serekali na hata wanasiasa.

Ona wameshindwa kumfunga pablo hapo kwao! Amefungwa maerekani kwa sababu za kiusalama.

Hakuna gereza hawa ngadalist wanashindwa kulivamia au kutoroshwa mfungwa wanaemtaka hapo kwao!

Ni shiidah.
 
Back
Top Bottom