Makaburi ya Ma-Don na wauza unga wa Mexico

Makaburi ya Ma-Don na wauza unga wa Mexico

Tayari... Na hizi ni baadhi ya picha... Hapa ni makaburi maarufu ya wazungu wa unga.. Hili eneo linajulikana kama Jardines Del Humaya cemetery... Ukiangalia ni kama Kijiji cha makanisha kumbe ni makaburi... Yaliyofutika wababe na wauaji View attachment 1217086
Hapa ndipo walipolala real hustlers achana na sisi watumishi wa umma mpaka tunazeeka hatuna mahali pa kuishi!
 
Sasa na i anamiliki kama qao wameshakifa au ndo sehemu za kitalii
 
Maana nimewaza kijinga nilitaka kwenda kuishi huko najichagulia moja kama ya Pablo
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji15][emoji15][emoji15][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom