Makaburi ya Ma-Don na wauza unga wa Mexico

Makaburi ya Ma-Don na wauza unga wa Mexico

Maisha yao mafupi
Drug Lords eti huwa wanatumia mpaka ndege za mashirika ya kijasusi kama CIA.Katika wimbo wa The Black Eyed Peace-Street Livin' Kuna mstari jamaa anasema "CIA planes brings Colombian drugs."

Ndiyo maana haya mambo hayaishi.
 
@ Mshana Jr Mexico kuna mwanzilishi anaitwa Miguel Rodriguez akiwa pamoja na Rafael Caro Quientero ..story yao ipo interested Mkuu
 
@ Mshana Jr Mexico kuna mwanzilishi anaitwa Miguel Rodriguez akiwa pamoja na Rafael Caro Quientero ..story yao ipo interested Mkuu
Miguel Rodriguez na Rafael caro hao walikuwa wanasafirisha bangi kutoka mexico kwenda marekani, Ina aminika bangi ya mexico ni bora sana na ilikuwa na soko zuri nchini marekani. Sasa Miguel hakaona fursa kwa soko la cocaine ichini marekani akasafiri mpaka Colombia akakutana na Pablo hakaanza Ku push cocaine akaachana na bangi.
 
@ Mshana Jr Mexico kuna mwanzilishi anaitwa Miguel Rodriguez akiwa pamoja na Rafael Caro Quientero ..story yao ipo interested Mkuu
Hawa ndo the Guadalajara cartel mzee...
Walikua responsible na kifo cha kikatili cha DEA agent mmoja jina lmentoka...walifurumushwa hatarii na wamarekani kisa wameua mtu wao
 
Hao jamaa hata Jela zao huko Colombia, Panama, Mexico, Peru sio mchezo Kule akikamatwa drug dealer mmoja anaenda na walinzi wake Jela na bunduki, pesa, unga na kila kitu Kule Jela Kuna kila starehe wanawake, bangi, unga, pombe Yan kila kitu sema huwez kutoka nje Ila simu yako inakuwa nayo Kule jamaa ndo wanamiliki kila kitu
 
Namba sikumbuki kwakweli labda nikirud home ila ndio channel yangu pendwa hiyo ya CBS REALITY_DSTV

Ongezea na channel 181 kuanzia saa nne na nusu Drug Inc ikifuatiliwa na kingine Cha kutumikia kifungo nje ya taifa lako sema makosa mengi wanaletaga ya unga Sana Yan jamaa wakienda kuchukua unga huwa wanakula Raha sana
 
Back
Top Bottom