Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 688
Wanawake wa Kinyalu ni very beautiful,strong and very smart.
Lakini usisahau kusema pia wengi ni ma house-girl aka beki tatu !!
Wanawake wa Kinyalu ni very beautiful,strong and very smart.
Toa mfano Mkuu, haraka iwezekanavyo
Ni kamsemo enzi hizo na ukoloni...ila hakuna kitu kama hicho wahehe walizoea kusema kuwa kambwa kenyewe kalikuwa kadogo refering too ngombe.....basi watu wakadhani wahehe wanakula mbwa..na hiyo siyo kweli kuwa ni tunakula mbwa miye sijawahi kuona ndugu yangu yeyote anakula mbwa....basi tuu kwani kweli Wanyamwezi au wasukuma wanapenda wanawake weupe tuu?...au kwani kweli wapare wabahili?...au kwani kweli wachaga wana miguu kama pingili za muwa?..au kwani kweli wanawake wa kisingida ni easy going?...No hakuna ukweli ndani yake basi tuu...ni watu na mitazamo yao.
Lakini usisahau kusema pia wengi ni ma house-girl aka beki tatu !!
Lakini usisahau kusema pia wengi ni ma house-girl aka beki tatu !!
Lakini usisahau kusema pia wengi ni ma house-girl aka beki tatu !!
Mpaka sasa Kelly anaongoza kwa point ila mambo ndiyo bado yanaanza kwani Nyani anawezza kugeuza kibao kwenye raudi za mwisho kwa kutoa pigo la KO.
ihihihihihihihihiii...aisee kweli bana hata sisi tulikuwaga na housegirl mnyalu....
kelly inabidi aje hapa atoe maelezo....
no waaay!...kila kabila lina house girl siyo wanyaku peke yao.Sema tuu mlikuwa mnaona kama vile kila house girl ni mnyalu...mimi nimeona ma house girl wengi tuu wanatokea moshi,tabora,singida,bukoba just to name few....
Na kula mbwa bwana ww nanhiii hapo juu utakuwa umekula nyama ya swala ukadhani ni nyama ya mbwa au itakuwa wale nguruwe pori...unajua swala wanafanana kidogo na mbwa?
Hata siku moja sikuwahi kuona wala kusikia housegirl anatokea Tabora, Mwanza, au Shinyanga. Kwanza huko ni mbali sana na Dar. Sijui hata wangefikaje Dar....
Halafu mbona unawatetea sana Wanyalu? Na wewe ulikuwaga "Niangusage" nini? Lol
Wee mimi niangusage?....hahahaha anyways ngoja niwahi kwnaza si unajua nakwenda hustling...kabla rush hour jaijaanza kuwa mbaya si unajua ina-snow nje....i will be back......
Taratibu na taaluma za wenyewe... uzuri wao hawajui kukasirika na wakikasirika ni nomaEti unaenda ku hustle...heheheheheee...yaani na huku umekuwa housegirl? wanyalu kweli kiboko aisee
Taratibu na taaluma za wenyewe... uzuri wao hawajui kukasirika na wakikasirika ni noma
Interesting, thread imetekwa tunaangalia hivihivi, POA LAKINI!
jiunge na mwenzako pundit....yeye kaamua kuchukua likizo until after krismasi
Dada zako vipi mbona kama unajisahaulisha acha kauzibe
Particulars zipi umeniuliza kuhusu monie nimekwambia niko fiti unataka kujua nini tena? unachotakiwa kufanya ni ku bridge the gap tu btn mie na sistako mengine atakuambia mwenyeweUna meet qualifications za kuwa date? hebu nipe particulars zako