Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,494
- 145,857
- Thread starter
- #41
Usikonde kijana pamoja na recesion bado sijayumba.....hook me one mkuu
Mdada ambae hajui kuvaa kwangu hana nafasi,wale wanaokurupuka wanajivalia valia tu aaah....mwanamke alipuke ati
huwezi kuniingiza mkenge mimi wewe....lete waleti niione halafu kitaeleweka...
