Makabila Yetu na Urembo

Sikuwezi. Unajua unachosema kuwa ni kinyume........

Unajua me i know mbeya very well nimeenda shule kule...then weekend tukawa tunaenda sana mwanjelwa pamoja na mbeya tech was a little close....walking distance na iringa is my my home town....
 
Si ndiyo mlivyokuwa mnasema enzi za nyerere kuwa binadamu wote ni sawa?

Unapendelea Bisexual uh?!....
4get about Nyerere na siasa zake mfu kaenda nazo we are talkin about globalization,Liberalization,outsourcing and Privatisation right ambazo nyie Beijing mnalilia haki zenu.....Nahisi Jully kashindwa kukaa chini ya Joy....ya kuombwa down Joy sifikirii Jully ana access ya vitoto vingi kuanzia timesFm mpaka Redio maria....

Sifagilii bisexual nasubiri dada zake Nyani Ngabu machotara wa Kinyamwezi wa Kisukuma
 
Unajua me i know mbeya very well nimeenda shule kule...then weekend tukawa tunaenda sana mwanjelwa pamoja na mbeya tech was a little close....walking distance na iringa is my my home town....

.....then, how dare compare Nyalukolo girl to those sex Nyakyusa women! If hips na mguu wa chupa have anything to do with beauty (in Tz it is true) then you wish you were mwanjelwans.... no wonder you frequented the place...
 
You call Nyakyusa women sex over wanyalukolo? oh well yeah wana miguu minene na big-ol boots wanawake wa kinyalukolo tupo fit model type body yaani proportional all the way...sasa kwa nini wanaume wa kinyakyusa wanafunga safari kwenda Iringa au Makambako?..wanajua swala wa iringa wamesimama.
 
HELL Noo Shindwa katika Jina la Yesu na Ulegee....Nyama hatari alikatazwa kwenda ATL because most ya masela wa kitz thr ni gays,kweli?

4get about Nyerere na siasa zake mfu kaenda nazo we are talkin about globalization,Liberalization,outsourcing and Privatisation right ambazo nyie Beijing mnalilia haki zenu.....Nahisi Jully kashindwa kukaa chini ya Joy....ya kuombwa down Joy sifikirii Jully ana access ya vitoto vingi kuanzia timesFm mpaka Redio maria....

Sifagilii bisexual nasubiri dada zake Nyani Ngabu machotara wa Kinyamwezi wa Kisukuma

Since nyerere ameondoka watu hamtaki kuenzi what he has made you...without him Tanzania isingekuwa hapo ilipo....i know sheria za nyerere zilitupumbaza lakini we have kuzienzi a little though hii ni century ya 21 we have to act differently...of ocurse tumeenda beijing na tumepata haki zetu sasanyie madume mnaanza kuhaha why?mlitaka mtutawale hadi leo..see mnaona kama Semuhaville anawanyanyasa kisa mna kijib cha roho she is just doing her job...

hahahha uwiii sasa umeshamsahau madame Rita unaanza kuwasha moto kwa dada yake Nyani Ngabu kazi kweli kweli i cant wait to hear what he says.
 
You call Nyakyusa women sex over wanyalukolo? oh well yeah wana miguu minene na big-ol boots wanawake wa kinyalukolo tupo fit model type body yaani proportional all the way...sasa kwa nini wanaume wa kinyakyusa wanafunga safari kwenda Iringa au Makambako?..wanajua swala wa iringa wamesimama.

Those are kingas and like. No Nyakyusa can go for Nyalukolo that far! I wish I had your email. Will have given you the inner truth about those ladies from Tokyo and Kyela. Uniques. Everyman who knows, agrees
 
hahahha uwiii sasa umeshamsahau madame Rita unaanza kuwasha moto kwa dada yake Nyani Ngabu kazi kweli kweli i cant wait to hear what he says.
You know wadada wazuri tanzania ni makabila ma2 tu.....wahaya na dada zake Nyani Ngabu(wasukuma)....fuatilia Rita katokea wapi....Nyani anawabania dadaze i dont know why
 
Those are kingas and like. No Nyakyusa can go for Nyalukolo that far! I wish I had your email. Will have given you the inner truth about those ladies from Tokyo and Kyela. Uniques. Everyman who knows, agrees

wee nipe tuu hiyo inner truh hapa hapa Jf...tuone hiyo thesis yako uliyofanya na kuona kuwa nyakyusa ladies wako moto...I tell you this everyman will agree with me too kuwa Nyalu ladies are hot compared to nyakyusa ladies...sema wamebahatika kuwa na miguu minene na badunka dunk thats it...hands down!...
 
You know wadada wazuri tanzania ni makabila ma2 tu.....wahaya na dada zake Nyani Ngabu(wasukuma)....fuatilia Rita katokea wapi....Nyani anawabania dadaze i dont know why

Wahaya?hell no ila yes wanyamwezi i can agree with you...la pili ni kutoka singida..."WANYIRAMBA"...Very beautiful women...Dude nimekushtukia unapenda sana wanawake weupe..yule mademe Rita i think ni Muhaya....wahaya wengi wa uharabu ndani yake.
 
Una mambo wewe! Hamna mnyalu wa aina yako kwa ninao wajua. Hiyo ya Kinyaki inner secrete haifai hapa live. I keep it, adventurous men can try on their own..... But you need to be really adventurous, otherwise you may not notice. Kuna mtu siku moja hapa kasema you never mis something you have never known!
 
Una mambo wewe! Hamna mnyalu wa aina yako kwa ninao wajua. Hiyo ya Kinyaki inner secrete haifai hapa live. I keep it, adventurous men can try on their own....

Haya nitakuruhusu nitumie kwenye PM!....Alafu sasa mimi ni pure nyalu siyo Mulato...born with both nyalu parents i am so proud and i love my tribe hahahaha!....Mnyalu mwenye character ya aina yake you got it wala hujakosea...
 
Wahaya?hell no ila yes wanyamwezi i can agree with you...la pili ni kutoka singida..."WANYIRAMBA"...Very beautiful women...Dude nimekushtukia unapenda sana wanawake weupe..yule mademe Rita i think ni Muhaya....wahaya wengi wa uharabu ndani yake.
Nahusudisha figa liwe figali kala liwe kala kweli kweli sio limejaa mapoda poda atifisho akiamka monii awe byuti....dadaze Nyani wakali figa figali kweli na tabia nawapa A full heshima kilo 800.....iwe mbwenu koku aah usipime kila idara...sahau nyirambaz kwanza hawajui hata kupiga pamba kiwanja siendi nae wa namna hiyo
 
Hahahaah you are so stupid lol!...so ni heri mwanamke awe mzuri na ana tabia nzuri though hajui kupiga pamba au anajua kupiga pamba na anakupa pressure kila siku?...
 
Sifagilii bisexual nasubiri dada zake Nyani Ngabu machotara wa Kinyamwezi wa Kisukuma
Juu kabisa inawezekana, kwani asifiae mvua imemnyea....Jamaa haipiti wiki bila kutaja au kuandika neno G

Hapo mwisho kabisa nami nakuunga mkono katika dada zake huyo jamaa!...:D
 
You know wadada wazuri tanzania ni makabila ma2 tu.....wahaya na dada zake Nyani Ngabu(wasukuma)....fuatilia Rita katokea wapi....Nyani anawabania dadaze i dont know why

Una hela ngapi wewe?
 
Juu kabisa inawezekana, kwani asifiae mvua imemnyea....

Hapo mwisho kabisa nami nakuunga mkono katika dada zake huyo jamaa!...:D

Hehehehehe...na wewe tokea masista wangu wakupige kibuyu kwa sababu hujui kiingereza basi tokea wakati imekuwa shida na karaha tu. Kajifunze kwanza lugha halafu ndo urudi utume tena maombi...
 
Una hela ngapi wewe?
Usikonde kijana pamoja na recesion bado sijayumba.....hook me one mkuu
Hahahaah you are so stupid lol!...so ni heri mwanamke awe mzuri na ana tabia nzuri though hajui kupiga pamba au anajua kupiga pamba na anakupa pressure kila siku?...
Mdada ambae hajui kuvaa kwangu hana nafasi,wale wanaokurupuka wanajivalia valia tu aaah....mwanamke alipuke ati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom