Makabila Yetu na Urembo

Usikonde lakini tatizo Nyani anabania dada zake sijui kwanini .

Wewe usingekuwa mharibifu ningekuunganishia mmoja...lakini nakujua wewe. Unataka tu umfanyie fujo zako na kumharibu halafu uingie mitini....unajua game recognize gama na playa recognize playa...hahahaha
 
Wewe usingekuwa mharibifu ningekuunganishia mmoja...lakini nakujua wewe. Unataka tu umfanyie fujo zako na kumharibu halafu uingie mitini....unajua game recognize gama na playa recognize playa...hahahaha


I am a good pyschic..i knew why you bitching around the bush...kumbe unajua yo yo is your kind.
 
Si unajua na yeye mzinzi ndiyo maana anawabania hataki dada zake wafanyiwe vile anavyowafanyia yeye madada wa wenzake...wink:)...

Nyani i know how to sense hhahaha

Hahahahaha...wewe hizo bangi zitakudatisha....
 
Too bad i don't vuta/puliza bangi if i would i guess ningekuwa nimedata for really...near Bob Brown

dah...kama bobby tena? umeona lakini mdomo wake ulivyolegea utadhani anananiliu nanihino....
 
Nyie watu wa Mbeya na Iringa ndio mnasema "We niangusage tu, dhambi ni zako"?
 
That is grossy!...For the record Dada Joyce doesnt take any bullshit she is such a strong woman,wee ueajiriwa kufanya kazi na siyo kutongoza au kuleta lelemama piga mzigo matokeo utayapata mwisho wa mwezi...tatizo mmeshazoea wale wanawake wanaosema yes sir (maharagwe ya Mbeya).Wanawake wa Kinyalu ni very beautiful,strong and very smart.


Mbona maharage ya Mbeya magumu kidogo kuliko wanyalu? au nimekosea, maana kina dada wa kinyalu wanahuruma sana kuliko maharage ya mbeya. Lakini ukumbuke kuwa sio kina anayefungua kufuli ni mjinga, tatizo ni kuwa kama ugawaji, may be she thinks it will turn into gold for being hard on others, good for her.
 
Keely01: Tafadhali rejea tena utafiti wako. Mimi wanyalu ni watani-na ninauhakika kuwa Dog alikuwa kitoweo siku za nyuma, sio kila mtu alikula bali ni kwa wazee wa rika na/au hadhi fulani. Ndiyo maana ninyi madot.com hamjuai ukweli huo.
 
Kuhusu Wanyalu kula mbwa si kweli. Wakati wa vita kati ya Mjerumani na kabila hili kulitokea njaa kali kwasababu ya watu kutopata muda wa kulima hivyo kilichofuatia ni utapia mlo kwa watoto na watu wazima. Hali ile iliwafanya Wajerumani kustaajabu kumuona mtoto ambaye anaonekana kama mtu mzima mwenye kitambi. Inasemekana waliuliza ni chakula gani watoto wale hula watoto walijibu "...twailya wugali na dogi..." Maana yake ni "...huwa tunakula ugali na maharage..." Katika elewa yao wakadhani "...dogi..." zilizotajwa hapo ni "..mbwa..." kumbe hapana. Hapo ndipo zilipoanza kuenea taarifa hizi kwamba Wahehe a.k.a Wanyalu ni watumiaji wa nyama ya mbwa.

Dogi = Maharage
 
And we will let you be our don King...you better be fair...

Mpaka sasa Kelly anaongoza kwa point ila mambo ndiyo bado yanaanza kwani Nyani anawezza kugeuza kibao kwenye raudi za mwisho kwa kutoa pigo la KO.
 
That is grossy!...For the record Dada Joyce doesnt take any bullshit she is such a strong woman,wee ueajiriwa kufanya kazi na siyo kutongoza au kuleta lelemama piga mzigo matokeo utayapata mwisho wa mwezi...tatizo mmeshazoea wale wanawake wanaosema yes sir (maharagwe ya Mbeya).Wanawake wa Kinyalu ni very beautiful,strong and very smart.[/QUOTE]

Weeeeeeeeeeeeee!!!!!!eti nini????????
Asikuambie mtu, wanawake kutoka nyaluland ni wepesi kama ubua!!!!!!!
Yaani huitaji kutumia nguvu hata kidogo, kama unanawa vile!!!!Kwa hilo wala usibishe, maana mwenye meno hafundishwi kutafuna!!!
 
Weeeeeeeeeeeeee!!!!!!eti nini????????
Asikuambie mtu, wanawake kutoka nyaluland ni wepesi kama ubua!!!!!!!
Yaani huitaji kutumia nguvu hata kidogo, kama unanawa vile!!!!Kwa hilo wala usibishe, maana mwenye meno hafundishwi kutafuna!!![/SIZE]

Toa mfano Mkuu, haraka iwezekanavyo
 
Nyani Ngabu vipi sista zako......totozi chotara hizo mixa Nyamwezi na Sukuma silazi damu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom