Mtaalam
JF-Expert Member
- Oct 1, 2007
- 1,371
- 261
lol sikujua kuwa siop lazma niende kwenye li kona la jokes ili nicheke...kumbe mambo iko huku pia!
mmenikumbusha tu huo msemo wa ndugu zetu wa iringa niangusage..watever!
ila uongo mbaya bana sina nia mbaya na wenzetu watu wa iringa,kuna wakati flani walikua wanaongoza kwa mabeki tatu mjini darisalama na kama wengi mjuavyo hw easy it was kwa wao kuchezewa kilainiiii!
familia iliyokua ina watoto wa kiume waweza kuta wote walikua wanalamba kirahisiiii bila wenyewe kujishtukizia!na beki tatu bado anaendelea na mzigo ka kawa