Makabila Yetu na Urembo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makabila Yetu na Urembo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nyani Ngabu, Dec 22, 2008.

 1. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #1
  Dec 22, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Like Toxican Naughty Girl....?
   
 2. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Ni kamsemo enzi hizo na ukoloni...ila hakuna kitu kama hicho wahehe walizoea kusema kuwa kambwa kenyewe kalikuwa kadogo refering too ngombe.....basi watu wakadhani wahehe wanakula mbwa..na hiyo siyo kweli kuwa ni tunakula mbwa miye sijawahi kuona ndugu yangu yeyote anakula mbwa....basi tuu kwani kweli Wanyamwezi au wasukuma wanapenda wanawake weupe tuu?...au kwani kweli wapare wabahili?...au kwani kweli wachaga wana miguu kama pingili za muwa?..au kwani kweli wanawake wa kisingida ni easy going?...No hakuna ukweli ndani yake basi tuu...ni watu na mitazamo yao.
   
 3. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  LOL!...Oh yes indeed like toxican Naughty girl.....How did you know that? you finally did your research uh.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Dec 22, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Ni kweli wanaume wengi wa kisukuma wanapenda wanawake weupe....ila of course kuna exceptions...wink wink
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Yah dada Joy nasikia Brenda,who knows

  Bora muendelee kula mbwa kuliko hii tabia yenu ya kuroga wanaume…..

  BTW nani aliwahi kufanya kazi boss wake akawa Mbeijing? ni kero kubwa.....akiwa mkali kaazi kweli na akiwa kama yule Mbunge aliesaula wengi wao wanataka mshiriki kile kitendo ukikataa unakula kimemo......
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Dec 22, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  yeah..i had to do my research, you know....

  Toxican Naughty Girl is fiyaaaaaaaa...she's hot to death
   
 7. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  hahahaha!...kwani wewe msukuma?.
   
 8. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  YO YO No waaaay!... we dont roga wanaume hata kidogo that is uncivilised and really?!.who believe in rogaring hakuna kitu kama hicho period...

  I will Btw you this...kuna a lot of beijing's siku hizo in ofisi siyo kama zamani tulikuwa nyuma sana..tukidhani wanaume only can do better than wanawake...mnasema binadamu wote ni sawa then lets be equal kwa nini wanawake tunawekwa nyuma..so now nkitawaliwa na wanawake makazini mnaona hatari..why?
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Dec 22, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Mimi ni cross between msukuma na mnyamwezi....

  Ila mimi i don't care...toxican kanichanganya akili.....
   
 10. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  hahaha Toxican naughty girl is SO fierce for really!....i see! i see!...mmh i like your style.LOL!...
   
 11. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Well well well itabidi niongee naye 4shoo...Nitamueleza bwana kuna rikaka ra kisukuma na kinyamwezi rimekuzimia...na mta make a good couple kama jay na B.
   
 12. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Sasa mwanjelwa hutaki?..unadhani utafananisha mademu wa Kinyalu na wale wa Pale Mwanjelwa sokoni au kule soko Matola? ......wee sema ukweli wako... really talk!
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Dec 22, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Yeah...Toxican Naughty Girl is da bombest mami.....

  Johnson is in trouble now....I better coz I don't wanna get him in more trouble
   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Dec 22, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Yeah Bonnie and Clyde....
   
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Weeeee nani kasema Binadamu ni sawa???

  BTW kama mwanamke awe boss wangu kwa sasa ningependelea Rita Paulsen

  Inaelekea una dada wazuri sana.....hook me one.
   
 16. M

  Mwanjelwa JF-Expert Member

  #16
  Dec 22, 2008
  Joined: Jul 29, 2007
  Messages: 961
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  you make me happy. You make my day. Wanawake Iringa!? Wale wale ninaowajua mimi! Labda wewe
   
 17. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #17
  Dec 22, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Hahahahah tell Johnson to calm down na yeye mbona ana fujo sana eeeh!...lol..i didn't know if yo are this stupid hahahahah you really crack me out...
   
 18. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #18
  Dec 22, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Wee utakuwa unawaongelea wale wa Isamilo...
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Dec 22, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  hey stupid is my middle name, you didn't know..? i thought you knew...
   
 20. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #20
  Dec 22, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
   
Loading...