Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,620
- 69,356
đź–•You are a hoe/skank dont throw yourself on me i aint use no slut.
đź–•You are a hoe/skank dont throw yourself on me i aint use no slut.
You are a hoe/skank dont throw yourself on me i aint use no slut.đź–•
Hapa ni sawa na kusema unajifungia na mwanamke chumba kimoja halafu hufanyi kitu ila unajipima uwezo wako wa kuvumilia.My friend shetani hana urafiki na mwanadamu iko siku utaingia kingi na hapo ndio penye anguko lako...Hapana mkuu.
Katika mambo yanayoweza kunihangaisha pombe haipo.
Hapa nimeacha kunywa lakini ndani kuna beer, kuna Scotch, kuna white wine, kuna Tequila, kuna gin, kuna vodka.
Na kila nikiacha kunywa lazima niwe na pombe namna hiyo ndani ya nyumba nijue nimeacha kunywa wakati pombe ninazo, si suala la kuishiwa na pombe ndani tu.
Nazipita kila siku hata sizifikirii mara mbili. Tena kama beer zipo kwenye friji langu la garage chini baridiii, kila nikifungua friji naziona. Ila hata sifikirii kunywa.
Akinitembelea mgeni anayekunywa atakunya anavyotaka.
Nitajie hiyo siku, tangu January 1 2024 sijanywa.Hapa ni sawa na kusema unajifungia na mwanamke uchi chumba kimoja halafu hufanyi kitu ila unajipima uwezo wako wa kuvumilia.My friend shetani hana urafiki na mwanadamu iko siku utaingia kingi na hapo ndio penye anguko lako...
Chidi ameshindikana mkuu, watu wengi wamejaribu Sana kumsaidia ila ndo basi ameshindikanaNasikia ana kaka yake yuko Ulaya na yeye ni machachari sana lakini sio kwenye mambo ya ulevi na uteja, angemvusha tu kwa kweli......
Heroin unaacha mkuuUnajua uraibu wa pombe mtu ana WEZA ku skip au kuacha Ila HEROINE NI NOMA HUWEZI ACHA.
NDIO IVYO MAN DOWN 👎
A case study of chid inatuambia ameshindwaaHeroin unaacha mkuu
Kutokana na lifestyle yake na watu wanaomzunguka inakua rahisi kwake kurudi,ila mteja anaacha 100% kuna mifano kibao ya watu ninao wajua na angalia shuuda za watu katika vipindi vya television "an addict diary"A case study of chid inatuambia ameshindwaa
Ni kweli vitu vingine ni MUNGU pekeee anaweza kumbadilisha mtu.Kutokana na lifestyle yake na watu wanaomzunguka inakua rahisi kwake kurudi,ila mteja anaacha 100% kuna mifano kibao ya watu ninao wajua na angalia shuuda za watu katika vipindi vya television "an addict diary"
Wengine wakitoka sober huwa wanahama Hadi mji,.Kama chid anaishi ilala halafu katoka sober akirudi mtaani akipita Mtaa ambao Kuna pusher au akiona wenzake waliokua wanalewa wote tamaa lazima iwake
uraibu wa sungura na double kick nao ni balaaaUnajua uraibu wa pombe mtu ana WEZA ku skip au kuacha Ila HEROINE NI NOMA HUWEZI ACHA.
NDIO IVYO MAN DOWN 👎
Ndio wakomege Sasa!
Ni kweli kabisa Kuna jamaa alinipa testimony KADHAA kua izo POMBE Kali Zina hataree Sana SERIKALI iingilie KATI.uraibu wa sungura na double kick nao ni balaaa
Wengi huwa mnaacha si kwa kupenda ila kwa kulazimisha na mazingira hasa umri una kulazimisha uache pombe na ukishupaza shingo inavunjilaAlcohol free since January 1 , 2024.
leo King Kong Mwili Jumba nimebaki na Mwili huu?
Kamalizakipo kizazi kinachoendelea kuteketea kimya kimya bila Awareness yeyote, na lipo daraja linalonufaika na hali hiyo'
Alcohol free since october 2024.Hongera sana mkuu , mimi nilijaribu ila naona kama nilikurupuka
Vikishaingia kwenye damu kuacha ni ngumu sana.Ni kimya kimya ndio maana chunguzaa wanao kunywa vi SUNGURAAA HAWAWEZI KUACHAA
Angetolea ngoma hii story anarudi mjini''Sina wa kumlaumu,niilijipoteza mwenyewe, Kwa sehemu kubwa Jamii hainitazami tena kwa jicho la Usaidizi, Jamii inanitazama kama Mlevi au Teja,Lakini pengine Mimi ni Mfano hai unaoweza kutumika kusaidia kizazi kingine kinachoteketea kimya kimya. Nilikuwa Msanii Pekee wa Hip Hop niliyekuwa Hot kiasi kwamba nikashirikishwa mpaka kwenye nyimbo za Bolingo…
kumbuka FM Academia!…haikuwa ajabu Mimi kufanya Show India Jukwaa moja na P Square , Haikuwa ajabu Katika Fietsa Concert tour Mimi kuwa na Msafara wangu Binafsi wa Magari wakati wasanii wengine wote wakiwa kwenye Isuzu jorney na Costa, Hayo yote ninayozungumza si kwa Lengo la kujisifu la hasha!...watu watasema mengi lakini naumia kuona nipo hivi leo..naumia kwa Ulevi niliouingia...ulevi ambao mara kadhaa nimejaribu kuuacha..
.Ulevi huu ni Pingu, leo King Kong Mwili Jumba nimebaki na Mwili huu? niseme tu wazi sisi kama wasanii hujaribu vilevi vingi hasa pale tunapokuwa Hot na fedha inaingia...kumbuka wasanii muda wote ni watu wa safari na show,...wengi tunashindwa kuji-manage na Starehe...Maisha yanayotuzunguka hutulevya..Maisha ya vilevi na wapambe.
Mimi nimewahi kulipiwa Mamilioni na watu mbalimbali kwa upendo tu ili kupata Rahabilitation kutoka katika kifungo hiki lakini nikabaki kwenye ulevi ule ule. Nakumbuka mwanzoni mwa mwaka 2015 siku moja wakati nipo Maisha Club Basement alikuja Mtu Mmoja nisiyemjua akaniambia "Chidy hii si sawa...Chidy umekwisha, Mimi ni Mshabiki wako..Afya yako inatisha...tafadhali chukua hii namba kesho nipigie nione namna ya kukusaidia" Basi kesho yake nikampigia simu yule jamaa,.alichofanya ni kunichukua na kunipeleka Sober House (Pemba)...akalipa Gharama zote.
Sasa wakati nipo Pemba kuna pesa zangu za kazi ya Muziki ziliingia ilikuwa kipindi cha Uchaguzi Mkuu..Millions of Money...kwa kweli ilitaka sana Moyo kwa mtu mwenye Addiction kama mimi kuvumilia kukaa Sober House while huko nje kuna Milioni zangu kadhaa...Nikaondoka Rehab kwa lazima...hii ilikuwa sawa na mgonjwa anatoroka Dozi hospitali....nikarudi Jijini....jijini Dar es Salaam nikakutana na Mamilioni yangu, Washkaji, Vileo na Wapambe...nikaanza bata...nikarejea kwenye ulevi wa vilevi vyote kikiwemo kile kikuu kinachoniangamiza....home sikukaa, nilikaa hotel..nikatumia....kiasi cha fedha nilipeleka kwenye Ujenzi ambao haukufika mbali...leo nazungumza hapa zimekwisha zote…..Maisha haya sio sifa bali ni utumwa....utumwa ambao sishauri mtu mwingine kujaribu kujiingiza...Brother hata wewe usije ukajaribu kamwe...huu ni utumwa mkuu kuliko Minyororo ya Mjerumani.
Mimi ni Muhanga mmoja hadharani lakini kuna maelfu wako Gizani....Nyinyi mmepata Fursa ya kuniona Mimi Chidy kwa sababu nilikuwa maarufu na mwenye impact ktk sanaa na Jamii...je vipi kuhusu wale wasijulikana, wasio maarufu na wanahitaji Msaada?. Narudia, kipo kizazi kinachoendelea kuteketea kimya kimya bila Awareness yeyote, na lipo daraja linalonufaika na hali hiyo'- Chidy Benz (Katika Mahojiano na Saint Pio).
Credit: Pio PiusView attachment 3374762s