tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,039
Mwanamziki wa hiphop Chid Benzi katika mahojiano aliyofanya na Ayo tv ameeleza kuwa chanzo cha yeye kujihusisha na madawa ya kulevya ni mapenzi na wala si muziki kama wengine wanavyodhani. Katika maelezo yake ameonyesha ni namna gani mapenzi yalivyoathiri kwa kiwango kikubwa maisha yake na hivyo kumpelekea kujihusisha na madawa ya kulevya.
Soma pia: Chid Benz: Nilikuwa nawaza siku ifike Mama yangu aone situmii unga
Soma pia: Chid Benz: Nilikuwa nawaza siku ifike Mama yangu aone situmii unga