Majuto ya Chid Benz

Majuto ya Chid Benz

Kabisa unakula kistaarabu , kuna mwana humu kuna mchongo tuliupiga wote sasa ilinilazimu nimpigie video akashangaa kwamba alitarajia mimi ni cha pombe mpaka kwenye muonekano , kumbe ni mambo ya kujitunza tu na kula vizuri🤣
😂 word, kujitunza na kula vizuri.

Mimi na kazi nazofanya muda mwingi nakua ndani, nikitoka nje ni mara chache sana niwe na ishu ya msingi, ikiwemo na kuonana na sadali nichukue stock yangu ya mwezi nitulie.

Watu wanaojua natumia ngwai ni wachache sana, wife hana noma yeye shida alikua analeta nikinywa mitungi na hata hivi zilinikataa ikabidi nitemane nazo.

Hata nyumbani napewa sana kesi za bangi za madogo watoto wa mabinamu niwashauri waache kuvuta bangi, ni neema za mwenyezi tu zinafanya nikubali hiyo kazi lakini deep down natumia nguvu kubwa sana kujizuia nisiwaulize hao watu (mashangazi na madingi) "kwani bangi ina tatizo gani?" 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom