Itabidi turudi huko tenaSure, kuna Hotel moja ya Burundi nilifika nikamkuta mtoto mkali sijapata ona na yupo Hamble tu yani ile pisi ilikua fimbo sana
Napinga. Unaweza kuacha ukitaka tu.Unajua uraibu wa pombe mtu ana WEZA ku skip au kuacha Ila HEROINE NI NOMA HUWEZI ACHA.
NDIO IVYO MAN DOWN 👎
Daah Chidy,miaka hiyo akiwa kwenye kilele cha ubora,tulikutana uwanjani pale kinesi, kwenye mashindano ya Kinesi cup, alikuwa mtu poa sana, story mbili tatu tukapiga, lakini alikuwa na wapambe kama wanne hivi........huyu jamaa alikuwa na kipaji kikubwa sana''Sina wa kumlaumu,niilijipoteza mwenyewe, Kwa sehemu kubwa Jamii hainitazami tena kwa jicho la Usaidizi, Jamii inanitazama kama Mlevi au Teja,Lakini pengine Mimi ni Mfano hai unaoweza kutumika kusaidia kizazi kingine kinachoteketea kimya kimya. Nilikuwa Msanii Pekee wa Hip Hop niliyekuwa Hot kiasi kwamba nikashirikishwa mpaka kwenye nyimbo za Bolingo…
kumbuka FM Academia!…haikuwa ajabu Mimi kufanya Show India Jukwaa moja na P Square , Haikuwa ajabu Katika Fietsa Concert tour Mimi kuwa na Msafara wangu Binafsi wa Magari wakati wasanii wengine wote wakiwa kwenye Isuzu jorney na Costa, Hayo yote ninayozungumza si kwa Lengo la kujisifu la hasha!...watu watasema mengi lakini naumia kuona nipo hivi leo..naumia kwa Ulevi niliouingia...ulevi ambao mara kadhaa nimejaribu kuuacha..
.Ulevi huu ni Pingu, leo King Kong Mwili Jumba nimebaki na Mwili huu? niseme tu wazi sisi kama wasanii hujaribu vilevi vingi hasa pale tunapokuwa Hot na fedha inaingia...kumbuka wasanii muda wote ni watu wa safari na show,...wengi tunashindwa kuji-manage na Starehe...Maisha yanayotuzunguka hutulevya..Maisha ya vilevi na wapambe.
Mimi nimewahi kulipiwa Mamilioni na watu mbalimbali kwa upendo tu ili kupata Rahabilitation kutoka katika kifungo hiki lakini nikabaki kwenye ulevi ule ule. Nakumbuka mwanzoni mwa mwaka 2015 siku moja wakati nipo Maisha Club Basement alikuja Mtu Mmoja nisiyemjua akaniambia "Chidy hii si sawa...Chidy umekwisha, Mimi ni Mshabiki wako..Afya yako inatisha...tafadhali chukua hii namba kesho nipigie nione namna ya kukusaidia" Basi kesho yake nikampigia simu yule jamaa,.alichofanya ni kunichukua na kunipeleka Sober House (Pemba)...akalipa Gharama zote.
Sasa wakati nipo Pemba kuna pesa zangu za kazi ya Muziki ziliingia ilikuwa kipindi cha Uchaguzi Mkuu..Millions of Money...kwa kweli ilitaka sana Moyo kwa mtu mwenye Addiction kama mimi kuvumilia kukaa Sober House while huko nje kuna Milioni zangu kadhaa...Nikaondoka Rehab kwa lazima...hii ilikuwa sawa na mgonjwa anatoroka Dozi hospitali....nikarudi Jijini....jijini Dar es Salaam nikakutana na Mamilioni yangu, Washkaji, Vileo na Wapambe...nikaanza bata...nikarejea kwenye ulevi wa vilevi vyote kikiwemo kile kikuu kinachoniangamiza....home sikukaa, nilikaa hotel..nikatumia....kiasi cha fedha nilipeleka kwenye Ujenzi ambao haukufika mbali...leo nazungumza hapa zimekwisha zote…..Maisha haya sio sifa bali ni utumwa....utumwa ambao sishauri mtu mwingine kujaribu kujiingiza...Brother hata wewe usije ukajaribu kamwe...huu ni utumwa mkuu kuliko Minyororo ya Mjerumani.
Mimi ni Muhanga mmoja hadharani lakini kuna maelfu wako Gizani....Nyinyi mmepata Fursa ya kuniona Mimi Chidy kwa sababu nilikuwa maarufu na mwenye impact ktk sanaa na Jamii...je vipi kuhusu wale wasijulikana, wasio maarufu na wanahitaji Msaada?. Narudia, kipo kizazi kinachoendelea kuteketea kimya kimya bila Awareness yeyote, na lipo daraja linalonufaika na hali hiyo'- Chidy Benz (Katika Mahojiano na Saint Pio).
Credit: Pio PiusView attachment 3374762s
Hahah, usiku wa manane.
Kaone😅Itabidi turudi huko tena
Pole sana. Nadhani ninyi afya zenu ni za mgogoro au shule pia shida. Bode ni nini? Ukisema Chidy alikuwa na mwili jumba na Kalapina utasemaje? Sisi tunazungumzia music waliokuwa wanafanya Hard Blasters, Diplomatics, WWA, GWM, 2 Proud kabla hajawa Mr. 2 au nyuma hapo akina Saleh Jabir.We ni kitoto cha 2005, chid alikuwa na bode la kwendaa, utakuwa umemjua akiwa teja
Nipatie ya kwako. Una uzito gani? Biceps, Chest, neck na shoulders ukipima kwako zinafika ngapi? Pengine kwako wewe alikuwa mwili jumba nisikulaumu. Ninyi watoto wa siku hizi hamna afya kabisa. Hamli chakula bora na lishe hampati.Wenda tafsiri ya "mwili jumba" ndo hujaielewa au unayo ya kwako kichwani mkuu! Anyway utakavyoelewa, elewa hivyo hivyo. 😁
Kitoto cha 2005 maana hata hao wa 2000 wanamjua chid yule,, kalapina apate wapo bode' alilokuwa nalo chid!!!! Kwamba wanaume wa jf ni wa ovyo, we wa maana umefata nini humu, kojoa ulale ukue fala wewePole sana. Nadhani ninyi afya zenu ni za mgogoro au shule pia shida. Bode ni nini? Ukisema Chidy alikuwa na mwili jumba na Kalapina utasemaje? Sisi tunazungumzia music waliokuwa wanafanya Hard Blasters, Diplomatics, WWA, GWM, 2 Proud kabla hajawa Mr. 2 au nyuma hapo akina Saleh Jabir.
Ni aibu nije shindana na wewe kizazi cha akina Chidy Benz. Hoja ni huo mwili ambo ninyi mnaona jumba. Nmekustahi sababu najua shida ni elimu na kuzoea wanaume hovyo wa JF. Kutosababisha wewe uzaliwe haimaanishi unikosee heshima.
Umepaniki for nothing. Acha kudandia wanaume mi sinunui na sitaki takataka kama wewe. Huna elimu, una stress, umeshachezewa na watu wengi humu JF.Kitoto cha 2005 maana hata hao wa 2000 wanamjua chid yule,, kalapina apate wapo bode' alilokuwa nalo chid!!!! Kwamba wanaume wa jf ni wa ovyo, we wa maana umefata nini humu, kojoa ulale ukue fala wewe
Nipatie ya kwako. Una uzito gani? Biceps, Chest, neck na shoulders ukipima kwako zinafika ngapi? Pengine kwako wewe alikuwa mwili jumba nisikulaumu. Ninyi watoto wa siku hizi hamna afya kabisa. Hamli chakula bora na lishe hampati.
You are a hoe/skank dont throw yourself on me i aint use no slut.Kitoto cha 2005 maana hata hao wa 2000 wanamjua chid yule,, kalapina apate wapo bode' alilokuwa nalo chid!!!! Kwamba wanaume wa jf ni wa ovyo, we wa maana umefata nini humu, kojoa ulale ukue fala wewe
Ha ha ha... Peace and love. Usijali. Nmekuelewa.Mkuu umefika mbali. 😁
Hizo hela za kuninunua na nguvu za kunichezea unazo sasa?? Au kujishaua tuUmepaniki for nothing. Acha kudandia wanaume mi sinunui na sitaki takataka kama wewe. Huna elimu, una stress, umeshachezewa na watu wengi humu JF.
You are a hoe/skank dont throw yourself on me i aint use no slut.
You are a hoe/skank dont throw yourself on me i aint use no slut.Hizo hela za kuninunua na nguvu za kunichezea unazo sasa?? Au kujishaua tu
Nlishafanya hivyo but kanaendelea kunifuata fuata. Mi huwa nakaa mbali na hivi vinuka mkojo sasa vinaona kama navidharau. Which is true. Usijali. Peace and love si unajua mi huwa sina maneno na mtu.Sema mzee baba sometimes kama unaona mtu anashindwa kuona hoja yako basi mpotezee tu,haina haja Kuja kwenye njia kama hizi