Majina ya kike ya Kisukuma

Majina ya kike ya Kisukuma

hahaha haya watani wangu! naona mnajinafasi kwa majina yenu PORI. Kuna mtu anaitwa Makang'a hebu watanizzzzzzzz nipeni maana yake

Makanga au Makan'ga ni wingi wa ndege aitwaye Kanga.
 
Masalilo, Makenena, Nyamanda,yombya, kabelele, nyangalaga, makunja
 
Omega, tuombe tu na ware wa kweetuuu wakiambua kutaja majina yawo ya kikee ----mmhhh website yetu ya jamiii bwana inaweza kwenda dowuni kwa mudaa - yalivyo marefuuu na magumu kuyatamuka - memory ya komputa itagomaa nayaandika.

kokushubiraga......
kokuberaa......
 
Ongezea orodha ili uchague vizuri
Ng'waka
Mageni
Nchimile
Misoji
Kanengo
Ng'ahiwa
Ng'washi...
 
Binafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....

Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi
Nana...........

Nyanzala
Nyanzobhe
Ng'washi
Nshoma
Ng'walu
 
Nima, Nimalwa, Mpejiwa, Kwilabya, Nkamba, Midala, Ngolo, Buya, Kwezi, Gamalu, Salu,
 
Mbalu(dada yangu),ng'walu(shangazi yangu),mbukhe(mdogo wangu wa mwisho),Minza(mwanangu)
 
Back
Top Bottom