Majina ya kike ya Kisukuma

Majina ya kike ya Kisukuma

Muwe mnaenda na kwenye Bulabo sasa, msikalie kutaja tu majina kwenye mtandao!
 
Ngw'ana mbiti
Ngw'ana ngololo,
Mbiti
Horo
Nyashimo
Manyege
 
Maghida- hili humwakilisha mdada mrembo mwenye umbo refu na mara nyingi huwa na weusi wa kung'aa. nalipenda jina la Sundi:love:
 
Ingawa mengine mnataja ya kiume sasa!!!

Ntwing'wa (Mama yangu na Binti yangu)
Nkilijiwa
Milembe
Buya
Shillya
Kabupu
Ng'wakami
Kwilabya
Ng'humbu
Kulagwa
Masolwa
Nkwimba
Mballu
 
Ngw'anashija
Minza
Mirembe
Kashinje
Ngw'alu
Kanogu
Gigwa


Nebaga hange gashi oyo gwanike oyoo jirani na haambateyo....ehee itembee,oza gete nyanya ooho nzwere nying'e sana, shi kobile sana no iromboyee.[upo hapon au moroco kwenye mataa]
 
Mansukhu,Misoji, Nduhile,Remi, Mbula, Ndulu,Bengile,Sele,Ng'washi,Sundi,Ng'wanikhi.
 
Milembe, buholo, Hoka, Mageni, Bugumba, Kagoli, Geni, Nkwimba, Masabuda, Ngolo, Limi, Kweji, Nsungulwa, Kundi,
 
Ngw'anashija
Minza
Mirembe
Kashinje
Ngw'alu
Kanogu
Gigwa


Nebaga hange gashi oyo gwanike oyoo jirani na haambateyo....ehee itembee,oza gete nyanya ooho nzwere nying'e sana, shi kobile sana no iromboyee.[upo hapon au moroco kwenye mataa]

Hapo kwenye Red sisi wasukuma hatuna R, hilo jina ni Milembe. Samahani kama ni msukuma basi siyo native speaker
 
mengine ni ;
Wande,
Mbalu,
Kundi,
Kabula,
Mongu,
Nselema,
Malangwa.
 
Mabula ni la kiume na Kabula ni la kike. Kama sikosei, mbula ni mvua. Kwa hiyo Mabula ni Mamvua mengi au mvua kubwa na Kabula ni kamvua kadogo (manyunyu). Ila hapa sina uhakika sana na nitahitaji msaada wa bro B.

u r correct
 
Binafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....

Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi
Nana...........

MBISI,
hili nalo ni moja kati ya majina ya KIKE ya Ki-push.

 
Back
Top Bottom