Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,904
- 7,746
Mkuu kwetu hilo jina ni tusi kubwa..........
.
Kabupu
Mkuu kwetu hilo jina ni tusi kubwa..........
.
Kabupu
Mkuu kwetu hilo jina ni tusi kubwa
Nyamizi kumbe wasukuma, kuna bint aliitwa nyamiz nilimpenda alinizungusha kinoma kumbe msukuma aaaaaaah ctak tena.mungule
nyamizi
kwangu
............
afadhali usije ukaharibu mbegu ya watuNyamizi kumbe wasukuma, kuna bint aliitwa nyamiz nilimpenda alinizungusha kinoma kumbe msukuma aaaaaaah ctak tena.
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
Mihayo ni jina la kiume!! Kinehe Nkoi habhari ja marekani!!!Binafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....
Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi
Nana...........
Haya kwangu ni mageni kwa kweli nayo ni ya kisukuma?pls help
Uchochezi huuSundi...hili pia nalipenda.