Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,235
Mie ndiye Sikonge haswa. Mna Ngulu. Hilo jina si la kubahatisha. Yes wa Sikonge. Mapalala.
Mnyamwez wa sikonge?
Mnyamwez wa sikonge?
Mna Ngulu / Ilolangulu. Wapanga kulugo?Mie ndiye Sikonge haswa. Mna Ngulu. Hilo jina si la kubahatisha. Yes wa Sikonge. Mapalala.
Nilisikia Namtoba, mkoa wa MaraNantomba ni jina la kabila gani
Mna Ngulu / Ilolangulu. Wapanga kulugo?
Mulima dhahabu ya nhobhola (itumbate)?Sikonge siyo Ilolangulu.
Kwivapanga sana Vana Ngulu. Kwi mwilimam
Mkuu Haya nadhani ni yakinyamweziNyanso, Kapemba, Kalunde, Misayo, Kutogwa, Chellu, Mwilwa, Mkola, Mazila na Mwasi.
Ehh, akina Fundikira wanatunza sana majina ya Kilugha. Safi sana
Humu ndani tuna Kichuguu (Kibubunswa) Samahani nilifikiri majina yote...............
Mkuu Haya nadhani ni yakinyamwezi
Haya 👆👆ni ya kinyamwezi, nimeona jina langu hapo nililopewa na babu 😂 🤭Nyanso, Kapemba, Kalunde, Misayo, Kutogwa, Chellu, Mwilwa, Mkola, Mazila na Mwasi.
Ehh, akina Fundikira wanatunza sana majina ya Kilugha. Safi sana
Humu ndani tuna Kichuguu (Kibubunswa) Samahani nilifikiri majina yote...............
Mimi naomba unieleweshe maana ya sukuma na dakama.Hayo ni ya Wadakama. Wanyamwezi ni wote yaani Wa-Sukuma na Wa-Dakama. I hope unaelewa maana ya Sukuma na Dakama.
Shija= Sizya. Muhoja =Muhozya. Kutogwa=Butogwa nk.
MahondolaBinafsi majina ya kike wa Wasukuma hunisuuza sana moyo wangu. Ni jina gani la kike la Kisukuma ambalo wewe mwana JF unalipenda? Mimi ninayo kadhaa....
Limi
Misoji
Mihayo
Kabula
Kudahwa
Nsungi
Nana...........
1:Sukuma= KaskaziniHaya 👆👆ni ya kinyamwezi, nimeona jina langu hapo nililopewa na babu 😂 🤭
Mimi naomba unieleweshe maana ya sukuma na dakama.
Mimi naomba unieleweshe maana ya sukuma na dakama.
WaDakama ndiyo Wanyamwezi wa Tabora.Mtawanyiko wa kabila hili kubwa unaendana na pande kuu nne za dunia
1:Sukuma = Kaskazini
2: Kia =Kusini
3: Dakama= Mashariki
4: Ngweli = Magharibi
NB:Bhanangw'eli ndo hao Wanyamwezi
Ahsante kwa kunirekebishaWaDakama ndiyo Wanyamwezi wa Tabora.