Majina ya kike ya Kisukuma

Majina ya kike ya Kisukuma

Mabula ni la kiume na Kabula ni la kike. Kama sikosei, mbula ni mvua. Kwa hiyo Mabula ni Mamvua mengi au mvua kubwa na Kabula ni kamvua kadogo (manyunyu). Ila hapa sina uhakika sana na nitahitaji msaada wa bro B.

Guku,
Uko sahihi.
Kabula = Kamvua kadogo (manyunyu)
Mabula = Mvua nyingi
 
thanks shemejizzzzzz!! sijui ntaweza kusonga ugali mkubwa mkija kwetu???? (don worry in the name of love kila kitu kinawezekana)
 
Haya ni majina ya kiume

Ni kweli ghuku,ni majina ya kiume..Niliyaweka hapa kumjibu yule bwana aliyeweka majina ya matusi kwamba ni ya kisukuma,ndo nikamwambia kwamba usukumani atakutana na majina kama hayo(ulikuwa ni muendelezo wa majina niliyoyataja juu kama inavyoonekana hapa chini

Quote:
bht

jina lake tuuu.....na hayo aloandika yapo usukumani!!!!!!
Kaamua kututukana tu huyo,usukumani hatuna majina kama hayo..Bali utakutana na majina kama Magufuli(Makufuli),Milyango,Madirisha,Fungameza n.k
 
Sawasawa wa ng'wa mayu. Nakwelelagwa chiza.
 
thanks shemejizzzzzz!! sijui ntaweza kusonga ugali mkubwa mkija kwetu???? (don worry in the name of love kila kitu kinawezekana)

Shemeji,
Kumbuka kuwa huo ugali wenyewe unatakiwa uwe mgumu. Kwahiyo kabla hujausonga unatakiwa uwe na nguvu za kutosha.
 
Jamani tuendelee kwanza na majina ya kike maana ya kiume yapo mengi sana labda tuanzishe thread yake.......

Ng'walu
Hoja
Kamule
 
naona watu mnajitahidi
kwanini Kisukuma hakikuwa lugha ya taifa??😉am kidding
 
Makoye, Ng'wilima, maduhu, Gulu, Ng'walali, Ng'walida, Nyanda, Masele, Masaganya, Masanja...
 
Kasanda nalo ni la kwetu. Usimsahau Mkamiti.Wapo pia akina Misayo (Huzuni) na Mlekwa (huyu anazaliwa kwenye msiba yaani Ameachwa). Shangazi yangu alikuwa akiitwa Mkoka ......
 
hahaha haya watani wangu! naona mnajinafasi kwa majina yenu PORI. Kuna mtu anaitwa Makang'a hebu watanizzzzzzzz nipeni maana yake
 
Back
Top Bottom