TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 10,745
- 29,220
Lokole anasukuma range?Tangu lini baba levo alikua basha?? Lokole asitake kumpaisha huyo mwenzake, baba levo n mchicha mwiba, anakula na kuliwaa.
Mxxxxiiiiiiieeeeeewww huyu nae tangu ahongwe Range, anajikutaaa Bob risky, hata chimbo ndo zake hivyo.
ila Lokoleee bhanaaa anajua kujizima dataa.

