Majibu ya John Mnyika kwa Rais Samia, Mwendelezo wa IQ ndogo ndani ya CHADEMA

Basi mshauri nduguyo niliyemjibu awe mwangalifu na comment zake. Si vyema kumtwisha JPM zigo lisilomhusu. Hata Mh. SSH alishasema wakati wa kampeni za 2020 kuwa askari wao huwa hawatumii zaidi ya risasi 3.
Tafadhali mimi si wanasiasa. Ni mtizamo wangu. Na sitegemei kuwa. Unajua kama ni serekali na wanataka kukuua ni rahisi sana. Unatumia ndege, magari, mahoteli, nyumba za hukuhuku nchini. Wanaiteketeza ndege hiyo. Gari wanafanya kama walivyo fanya kwa EM 1984. Dube. Nyumba wanatega bomu. Hoteli Sumu kwenye dawa ya mswaki.
 
Back
Top Bottom