Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 38,607
- 81,268
Hiki unachosema hapa kinahusiana na zile story pendwa za Anunaki? au kuna utofauti ktk haya mambo?Hakuna Ulimwengu utachomwa moto wewe ila mwovu ataondolewa na watakatifu wataulithi milele,
Hii Dunia ipo milele yote haitaangamizwa kama ulikua hujui hata Mungu mwenyewe atakuja kuishi hapa through Jesus Christ yaani ufalme wa Mungu utahamia hapa na mbingu zitafumuliwa au husomi Maandiko wewe?
'Mbingu ni mbingu za Bwana na Dunia amewapa wanadamu' hilo andiko unalielewa kweli ndugu mtumishi?